Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

Kuruka kamba ule Mchezo wa kike ule kuna watu wanacheza hawakosei unarusha kamba mpaka makwappa yanauma
Umenikumbusha

Bai shoo!!!
Suadina!

Aisee tulikua tunaimba utumbo kwenye nyimbo za english

Lyrics to Byso I love u baby:

By so by love to baby
(I swore I love you baby)

To baby to the sa
(You gave that to the sun)

The saa to de yona
(The Sun threw me yonder)

The yona to de meh
(And yonder I became a man)

De meh phude phude
(And then I grew threw that)
 
na ule mchezo wa namtafuta mke wangu, mnasimama duara af katikati kunakua na huyo mke wa mtu na msusi, af mume mtu anakua nje ya duara anaimba namtafuta mke wangu........
Namtafuta mke wangu *2
Hapa hayupo *2
Kaenda wapi*2
Kaenda kusuka *2
Chanuo kampa nani?*2
Kampa msusi*2
Huu mti gani?
Wa mchongoma
Nikiukata
Haukatiki
Ata kwa panga?
Haukatiko
Hata kwa shoka?
Haukatiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo unajaribu kukata mikono ilioungana kumzingira mkeo anaeshukwa katikati ya duara!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakiachia mikono tuu unakimbizwa unabondwa, cha ajabu hakupigi huyo mumeo peke ake ila wooote wanakupiga kuanzia msusi adi waliokua wanakuprotect
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakiachia mikono tuu unakimbizwa unabondwa, cha ajabu hakupigi huyo mumeo peke ake ila wooote wanakupiga kuanzia msusi adi waliokua wanakuprotect
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ebwama umenikumbusha nilifuga sana samaki mazeee, nitajie baadhi ya majina ya samaki unayo kumbuka kama kweli ulkuwa mdau.
 
Hahahaahhahahaahahahahaha inglish nouma unapronauns vovote vile
 
Hahahaahhahahaahahahahaha inglish nouma unapronauns vovote vile
Alafu niligundua hili si janga la Tanzania pekee, ni Africa nzima tulikua tunavurunda hizi nyimbo! Nilikua na marafiki toka Kenya, Malawi, Zaambia na Nigeria wote walikua hawajui wimbo halisi
 
Mchezo wa "baba na mama".Mimi ndiye nilikuwa "baba".Tumetoka mbali sana.Leo siku ya wanawake nakushukuru sana mama yangu kwa kutimiza miaka 87....!
 
Ebwama umenikumbusha nilifuga sana samaki mazeee, nitajie baadhi ya majina ya samaki unayo kumbuka kama kweli ulkuwa mdau.
aisee hao samaki alikuwaga nao brother na alikuwa anawaweka kwenye kwelamu sijui ila sio mimi mkuu
 
1.Umukuku ( kuteleza umekaa kwenye gogo la mgomba)

2. Kupanda ngologojo

3. Kucheza pia

4. Kucheza enzi ball
 
Wale samaki mdau wangu kulikuwa na aina nyingi... Mf whitegapi, miksa, mkasi, tambara, dabokisoda, chuichi, whitegapichuichui, niwengi nakumbuka bibi alinikataza kucheza goroli akanambia bora nifuge samaki... Wapo wengi, hao no baadhi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…