Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makida makida makida se!!!Makida unaikumbuka??
UmenikumbushaKuruka kamba ule Mchezo wa kike ule kuna watu wanacheza hawakosei unarusha kamba mpaka makwappa yanauma
Namtafuta mke wangu *2na ule mchezo wa namtafuta mke wangu, mnasimama duara af katikati kunakua na huyo mke wa mtu na msusi, af mume mtu anakua nje ya duara anaimba namtafuta mke wangu........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakiachia mikono tuu unakimbizwa unabondwa, cha ajabu hakupigi huyo mumeo peke ake ila wooote wanakupiga kuanzia msusi adi waliokua wanakuprotectNamtafuta mke wangu *2
Hapa hayupo *2
Kaenda wapi*2
Kaenda kusuka *2
Chanuo kampa nani?*2
Kampa msusi*2
Huu mti gani?
Wa mchongoma
Nikiukata
Haukatiki
Ata kwa panga?
Haukatiko
Hata kwa shoka?
Haukatiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo unajaribu kukata mikono ilioungana kumzingira mkeo anaeshukwa katikati ya duara!
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakiachia mikono tuu unakimbizwa unabondwa, cha ajabu hakupigi huyo mumeo peke ake ila wooote wanakupiga kuanzia msusi adi waliokua wanakuprotect
Hahahaahhahahaahahahahaha inglish nouma unapronauns vovote vileUmenikumbusha
Bai shoo!!!
Suadina!
Aisee tulikua tunaimba utumbo kwenye nyimbo za english
Lyrics to Byso I love u baby:
By so by love to baby
(I swore I love you baby)
To baby to the sa
(You gave that to the sun)
The saa to de yona
(The Sun threw me yonder)
The yona to de meh
(And yonder I became a man)
De meh phude phude
(And then I grew threw that)
Alafu niligundua hili si janga la Tanzania pekee, ni Africa nzima tulikua tunavurunda hizi nyimbo! Nilikua na marafiki toka Kenya, Malawi, Zaambia na Nigeria wote walikua hawajui wimbo halisiHahahaahhahahaahahahahaha inglish nouma unapronauns vovote vile
aisee hao samaki alikuwaga nao brother na alikuwa anawaweka kwenye kwelamu sijui ila sio mimi mkuuEbwama umenikumbusha nilifuga sana samaki mazeee, nitajie baadhi ya majina ya samaki unayo kumbuka kama kweli ulkuwa mdau.
NA makida makida,unaujua huu mchezoDah rede tu.
Dah rede tu.