Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Soka all the way
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu kunakua na sehemu inabidi ukimbie ushike ndo watu hawakupigi... Sasa ole wako udondoke njiani, hicho kipigo chake kama mwizi. Ndo ukute una adui humo, utakula hadi ndama aiseekuna mchezo mwingine nimeusahau ulikuwa hivi mnakusanya michanga then mchomeka kakijiti halafu mnaanza kumega atakaekaangusha hako kakijiti tu ni kipigo kifuata.
soka tu mkuu.Soka all the way
Hawakukutumia kweli au mlitumianaNilikua nabadilishana nguo hadi na wanaume!!! Full kumchanganya mzingaji
Akuuu!Hawakukutumia kweli au mlitumiana
Ni wewe tu.Mkuu ningekuwa naweza ungenipa na mie
Uko wapi mkuu?Ni wewe tu.
Kujipikilisha
Mpaka mama alinipatia kasufuria kadunchu na mwiko. Daah, si kwa kupukiza moto kiasi kile.
Nimeku pmUko wapi mkuu?
Hapana! Tulikua tunakutana wadada tupu. Mkaka akija tunamtimua.Kujipikilisha inapendeza zaidi kukiwa na Baba na Mama. Unajipikilisha kikiiva mnakula etc. Kulikuwa na Baba!? Nauliza tu.
Mkuu hiyo ni kula mbakishie babakuna mchezo mwingine nimeusahau ulikuwa hivi mnakusanya michanga then mchomeka kakijiti halafu mnaanza kumega atakaekaangusha hako kakijiti tu ni kipigo kifuata.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchanga ukibaki kidogo mwisho mwisho watu wanakula kidogo kidogoAlafu kunakua na sehemu inabidi ukimbie ushike ndo watu hawakupigi... Sasa ole wako udondoke njiani, hicho kipigo chake kama mwizi. Ndo ukute una adui humo, utakula hadi ndama aisee
[emoji23] [emoji23] jina jingine ilikua inaitwa tobo baoTobo Ngumi.. Yaani mnapiga soka wee ukipigwa chupi/tobo unapewa vitasa na uwanja mzima..
Huku kwetu tulikuwa tukiuita madoba kubitikaTobo Ngumi.. Yaani mnapiga soka wee ukipigwa chupi/tobo unapewa vitasa na uwanja mzima..
[emoji23] [emoji23] jina jingine ilikua inaitwa tobo bao