Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

kuna mchezo mwingine nimeusahau ulikuwa hivi mnakusanya michanga then mchomeka kakijiti halafu mnaanza kumega atakaekaangusha hako kakijiti tu ni kipigo kifuata.
Alafu kunakua na sehemu inabidi ukimbie ushike ndo watu hawakupigi... Sasa ole wako udondoke njiani, hicho kipigo chake kama mwizi. Ndo ukute una adui humo, utakula hadi ndama aisee
 
Kujipikilisha inapendeza zaidi kukiwa na Baba na Mama. Unajipikilisha kikiiva mnakula etc. Kulikuwa na Baba!? Nauliza tu.

Kujipikilisha
Mpaka mama alinipatia kasufuria kadunchu na mwiko. Daah, si kwa kupukiza moto kiasi kile.
 
Kujipikilisha inapendeza zaidi kukiwa na Baba na Mama. Unajipikilisha kikiiva mnakula etc. Kulikuwa na Baba!? Nauliza tu.
Hapana! Tulikua tunakutana wadada tupu. Mkaka akija tunamtimua.
 
Reactions: BAK
Alafu kunakua na sehemu inabidi ukimbie ushike ndo watu hawakupigi... Sasa ole wako udondoke njiani, hicho kipigo chake kama mwizi. Ndo ukute una adui humo, utakula hadi ndama aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchanga ukibaki kidogo mwisho mwisho watu wanakula kidogo kidogo
 
kucheza uchi kwenye mvua na watoto wa kike na kuchungulia wadada wakiwa wanaoga
 
Afu kulikua na ule "kioo kioo, alikivunja nani, wa mwisho akamatwe, atiwe gerezani"
Na mwingine uliokua unachezwa sana ulikua ni ule "nivunje kikombe nsivunje?" Watu vunjaaaaa...
Mwenzenu Paprika...
Watu: enheeeeeee
Mchumba akeeee
Watu: enheeeeee
Ni danhosnoop......
Watu: weweeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] jina jingine ilikua inaitwa tobo bao

Basi kunakuwa na kitu cha kukisgusa ili masela waache kukupa mingumi... [emoji23] labda mti hivi.. Sasa ukifanikiwa kufika kwenye ule mti unakuta wajomba wameuzingira ule mti daah[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…