Swali zuri mkuu.
MkuuAsante kwa ufafanuzi mkuu...Sasa kulingana na rate za kununua na kuuza, naona Umoja fund inaweza kuwa nzuri.
Nini comment yako kwa hilo?
Asante sana ndugu. Mimi nimeshajenga nyumba ya kuishi, nina milioni 20 nataka nikawekeze UTT. Nataka kila nikipata hela nakuza mtaji wangu. Sitaki kujenga nyumba za kupangisha maana naona zitanisumbua. Nina uwezo wa kusave 20m kwa mwaka kwenye mshahara wangu.Uza tu mkuu wala hautajutia.
Unajua ndio maana wahindi wengi hawajengi. Sio kwamba wanaogopa ila wanajua hasara ya kuweka pesa chini isiyozalisha, Imagine mtu ana nyumba ya 200m lakini napata shida na ada ya mtoto ya sh 4m wakati pesa aliyoweka chini anaweza kupata 20m kwa mwaka. Usishangae wahindi kwa biashara ndogo tu watoto wanasoma shule za maana, hata nje ya nchi.
Oooh poaBond Fund au Liquid Fund----Risk almost free
Nyumba ipo wapi na ukubwa wa eneo upojeMkuu uko sahihi.
Mimi niongezee kuwa nina nyumba ya kupangisha - lakini usumbufu ninaopata kukusanya kodi, na pia fedha ipatikanayo - nikipata mteja nitauza hiyo nyumba na kuweka fedha zote utt (au Treasury bonds za muda mrefu zikipatikana).
Mkuu hata ukitaka kwenda kutoa zote ni ruksa. uamuzi ni wako. Ila itakuwa sawa na kupanda mbegu leo kisha kesho unaenda kuzifukua 😎Mkuu samahani naomba kueleweshwa
Kwa mfano nimewekeza kiasi cha sh 10 milioni sasa nikakaa miezi 2 nikapata changamoto nikataka kutoa kiasi kidogo kama cha 2 milioni, je inakubalika kutoa kiasi kiasi kidogo au mpaka utoe hela zote ulizowekeza kama mtaji wako?
Liquid au UKWASI kwa kiswahili. Unawaza pombe?Liquid ni pombe au....???.
1. Kwenye mfuko wa Bond, wanaposema kianzio cha Ths.50,000/= kwa lengo la kukuza mtaji maana yake ni nini? Utapata faida kwa hiyo elfu 50 yako au utaanza kupata faida na gawio baada ya kufikisha Mil.5+?
2. Huo mtaji unakuaje? Yaani una kuzwa na faida itakayozalishwa au inakua kwa wewe kuendelea kuweka kidogo kidogo? Maana hawajataja kiasi cha kuendelea kununua vipande kama mifuko mingine walivyotaja
View attachment 2853182View attachment 2853183
Nina swali nje ya mada kidogo
Hivi mfano nimewekeza mfuko wa UTT nina say miaka 25, nikawa nimeoa
Baada kama ya miaka 20 ndoa ikavunjika
Sasa kwenye zile sarakasi za mahakamani za kugawana mali kwenye talaka huwa zinagusa mpaka kwenye uwekezaji wako huko UTT?? k
Kwa mtazamo wangu sidhani kama ulijaza taarifa za kuwa mmiliki ni mmoja manake taasisi inakutambua ww (Jasho lako ) hawa wengine wanakuwa warithi tu mpaka pale utakoamuwa kuwapa au utakapoaga dunia,hivyo hata mkigombana mali ni zako tu ........KWA ufafanuzi zaidi wacheki UTT AMIS wenyewe kwa majibu Yakinifu
Tupe ushuhuda tangu ujiunge umefika level ipi.Kwa kuanzia ni laki moja, unaweza kudeposit kuanzia tsh 10000 wakati wowote ata ukiamua kila siku. Mm nilijiunga na liquid.
Unagusa mali zote zinazojulikana, kwahiyo inategemea hapoNina swali nje ya mada kidogo
Hivi mfano nimewekeza mfuko wa UTT nina say miaka 25, nikawa nimeoa
Baada kama ya miaka 20 ndoa ikavunjika
Sasa kwenye zile sarakasi za mahakamani za kugawana mali kwenye talaka huwa zinagusa mpaka kwenye uwekezaji wako huko UTT??
sawa tu manake kama ni 1% ni sawa na (1x5,000,000)/100=50,000Weeee 🌚🌚
Mbona kama huu ni udanganyifu?
What I know abt ukwasi ni ile rate ya 1% ya balance yako kwa kila mwezi
mi nilivyoelewa ni kwamba 1% imezidishwa mara miezi 12 kupata 12% so hakuna riba nyingine tena tofauti na hiyo labda kama kuna ile compound interest alisema mchangiaji mmojaLabda kama mdau hpo juu alivyosema kuwa apart from hyo 1% ya kila mwezi kuna 14% ya mwaka, kama ni hvyo hpo angalau inamake sense.
mnaposema vipande hasa hua mna maanisha nini? na je riba hua ina kokotolewa kwa kila kipande au kwa jumla ya vipande?Kwa vile thamani ya kipande (Net asset value per unit) hukokotolewa kila siku kwa kila mfuko wao, unaweza kukokotoa thamani ya uwekezaji wako kila utakapo.
Mimi kwa mfano huwa ninakokotoa thamani ya uwekezaji wangu mara 1 kila wiki. Unaweza kukokotoa hata kila siku.
Thamani za vipande siku kwa siku zinapatikana katika website ya utt, kwenye application ya utt ukiwa nayo, na mara nyingine huchapwa katika baadhi ya magazeti.