sambost
Senior Member
- Aug 27, 2020
- 105
- 126
Mkuu , Password ya App unaipataje ?Simbanking nenda tawi la CRDB lililo karibu na wewe, watakusaidia kuifungua, Kisha kama unataka kulipia units via hiyo simbanking app...inakuwa nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu , Password ya App unaipataje ?Simbanking nenda tawi la CRDB lililo karibu na wewe, watakusaidia kuifungua, Kisha kama unataka kulipia units via hiyo simbanking app...inakuwa nzuri sana
Kama uliunganisha hiyo huduma wakati unajiunga na huo mfuko, piga *150*82#, Kisha weka namba ya Siri unayotakaMkuu , Password ya App unaipataje ?
Nina experience mbaya kidogo na UTT,kama unataka kuuza vipande vyako upate hela nenda moja moja kwenye ofisi zao UTT. Kupitia CRDB utapata usumbufu mwingi sana. Mimi nina siku ya nane leo sijapata hela yangu.
Milioni 200+Kiasi gani niweke huko utt ili niweze kupata 2mil kila mwezi?
Na siyo lazima siku kumi, yaweza kuwa hata siku moja au mbili.Inatakiwa iwe siku 10 za Kazi. Toa weekend kwny hizo siku 10
Wekeza maisha huu mfuko unaweka pesa kwa muda wa miaka 10, vipande unaanza kuuza baada ya miaka mitano km ukihitaji baada ya miaka 10 unaweza hamia liquid au bond wakati huo una pesa yako ya maanaWadau naomba kueleweshwa. Nina mpango was kukuza mtaji ili nikistaafu nibaki na chochote maana hizi stori za kikokotoo kipya sizielewi. Nikijibana bana ninaweza kuweka laki 3 mpaka 4 Kwa mwezi Kwa sasa. Endapo mambo yatakuwa mazuri nitaongeza kulingana na kipato Cha wakati huo. Mpango wangu ni wa miaka 15 mpaka 18 ili nikifikisha 55 nistaafu kwa hiyari. Ni mfuko upi mzuri ambao utanisaidia kukuza mtaji na usio na usumbufu wa kutoa ikiwa nitapata shida kubwa.
Password unagenerate kwa *150*82#Sasa , PassWord ya Ile App , Uliipata wapi ?
Kiasi gani niweke huko utt ili niweze kupata 2mil kila mwezi?
Mkuu naomba ABC kwa hiyo ya Watoto Fund. Nina 15m nafikiria kumuwekea mtoto wa 8. Achukue akifika umri wa chuoUnafungua account kwenye simu na Account inakua tayari kuweka pesa hapo hapo. Hauwezi kutoa pesa kabla ya kukamilisha usajili. Kukamilisha usajili download form ya usajili, print, jaza, wasilisha tawi lolote la CRDB (CRDB ni wakala wa UTT). Kujiridhisha zaidi unaweza piga simu UTT na kuwauliza kama wamepokea form zako za kuomba usajili ulizokabidhi kwenye tawi la CRDB.
Mimi saivi nna mifuko mitatu, Wekeza Maisha, Umoja Fund na Watoto Fund ambazo zote nimefungua bila kufika ofisi za UTT, kasoro Watoto Fund ambayo yenyewe ni lazima kufika ofisini...
Mideko nidokeze kuhusu Watoto FundWekeza maisha huu mfuko unaweka pesa kwa muda wa miaka 10, vipande unaanza kuuza baada ya miaka mitano km ukihitaji baada ya miaka 10 unaweza hamia liquid au bond wakati huo una pesa yako ya maana
Watoto fund hii ni kwa ajili ya watoto chini ya miaka 18.Mideko nidokeze kuhusu Watoto Fund
Masuala ya riba yapoje. Mfano hapa ninataka niweke 15m kwa miaka 14yrs atakuwa na miaka 23Watoto fund hii ni kwa ajili ya watoto chini ya miaka 18.
Kujiunga ni bure, kiwango cha awali cha kununua vipande ni sh 10000 kima cha chini, muendelezo wa kununua vipande ni kima cha chini sh 5000.
Zuio la kuuza vipande mpka mtoto atimize miaka 12. (Huwezi kutoa pesa mpk mtoto afike miaka 12. Kama ukijiunga mtoto ana mwaka basi ndani ya miaka 12 utakua unanunua tu vipande pasipo kutoa.)
Faida ni 14% Kwa mwaka. Mapato yanaweza kupanda au kushuka inategemea na hali ya soko.Masuala ya riba yapoje. Mfano hapa ninataka niweke 15m kwa miaka 14yrs atakuwa na miaka 23
kwa kukuongezea fungua na wekeza maisha unaweza ukawa unaitupa hata laki kila mwez huko au kama una pesa ya maana ambayo imekuja ghafla na huna mpango wa biashara weka huko kisha isahau.. then in 10 years rud uone maajabu ya compaund interest.. ila mie nilichofanya nimefungua bond then gawio la mwez automaticali linaingia wekeza maisha plus watoto fund so sina haja ya kumchangia mtoto kila mwez mifuko yenyewe inachangiana.. ndan ya akifikisha 23 anamzigo wa kutosha ataamua.. na mimi walau nina mafao ya uzeen .Mkuu naomba ABC kwa hiyo ya Watoto Fund. Nina 15m nafikiria kumuwekea mtoto wa 8. Achukue akifika umri wa chuo
Mkuu compound interest inaanza baada ya mda gani?kwa kukuongezea fungua na wekeza maisha unaweza ukawa unaitupa hata laki kila mwez huko au kama una pesa ya maana ambayo imekuja ghafla na huna mpango wa biashara weka huko kisha isahau.. then in 10 years rud uone maajabu ya compaund interest.. ila mie nilichofanya nimefungua bond then gawio la mwez automaticali linaingia wekeza maisha plus watoto fund so sina haja ya kumchangia mtoto kila mwez mifuko yenyewe inachangiana.. ndan ya akifikisha 23 anamzigo wa kutosha ataamua.. na mimi walau nina mafao ya uzeen .
kwa kukuongezea fungua na wekeza maisha unaweza ukawa unaitupa hata laki kila mwez huko au kama una pesa ya maana ambayo imekuja ghafla na huna mpango wa biashara weka huko kisha isahau.. then in 10 years rud uone maajabu ya compaund interest.. ila mie nilichofanya nimefungua bond then gawio la mwez automaticali linaingia wekeza maisha plus watoto fund so sina haja ya kumchangia mtoto kila mwez mifuko yenyewe inachangiana.. ndan ya akifikisha 23 anamzigo wa kutosha ataamua.. na mimi walau nina mafao ya uzeen .
Good sana mkuu.kwa kukuongezea fungua na wekeza maisha unaweza ukawa unaitupa hata laki kila mwez huko au kama una pesa ya maana ambayo imekuja ghafla na huna mpango wa biashara weka huko kisha isahau.. then in 10 years rud uone maajabu ya compaund interest.. ila mie nilichofanya nimefungua bond then gawio la mwez automaticali linaingia wekeza maisha plus watoto fund so sina haja ya kumchangia mtoto kila mwez mifuko yenyewe inachangiana.. ndan ya akifikisha 23 anamzigo wa kutosha ataamua.. na mimi walau nina mafao ya uzeen .
Utt hukokotoa thamani ya kipande kila siku na kutangaza thamani hiyo kila siku ya kazi.Mkuu compound interest inaanza baada ya mda gani?
Je ikotokea Mtikisiko wa Uchumi au vitaUtt hukokotoa na thamani ya kipande kila siku na kutangaza thamani hiyo kila siku ya kazi.
Hii ina maana interest huanza kulipwa siku ifuatayo baada ya kununua vipande. Na uzuri mwenye vipande anaweza kufuatilia ukuaji wa alichowekeza mara kwa mara.