Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

JAMII FORUM IDUMU MILELE, KUPITIA HUU LEO NIMEJIUNGA
Umejiunga Liquid or Bond?

Inasaidia sana
Nina hakika pesa iliyoko UTT ingekuwa bank
Ningekuwa nimeidokoa balaa december 🤣

Ila UTT unapata uvivu kuifata
Basi itakubidi usake opt B utatue tatizo, huku pesa ya UTT ikiendelea kukaa.
 
mimi nilijiunga mwaka jana,sikuwahi kudokoa hela UTT ila january imebidi niende kudokoa,na jana nimetoka kujaza fomu tena nadokoa nyingine.Baada ya hapo ntaanza kupambana,nadhan lengo la pesa ni ile ikusadie kutatua shida zako. Ila sijadokoa kwa ubaya,nimefikiria pia uwekezaji mwingine wenye faida.Najaribu kote kote,UTT ukuzaji mtaji ni mdogo sana.
 
Inategemea na discipline yako na pesa, UTT ni nzuri ukiwa na discipline…
 
Najua..nilichomaanisha hapo UTT kuna mifuko ya malengo kwa ajili ya kukuza mtaji. Ukiona umepata mtaji wa kuwekeza kwenye biashara ni vizuri zaidi,sababu million kumi inavyozalisha UTT ni kidogo sana tofauti na inavyozalisha ukiiweka kwenye biashara. Point yangu kubwa usiogope kutoa hela UTT kama una malengo nayo mazuri zaidi.
 
mimi nilijiunga mwaka jana,sikuwahi kudokoa hela UTT ila january imebidi niende kudokoa,na jana nimetoka kujaza fomu tena nadokoa nyingine.Baada ya hapo ntaanza kupambana,nadhan lengo la pesa ni ile ikusadie kutatua shida zako. Ila sijadokoa kwa ubaya,nimefikiria pia uwekezaji mwingine wenye faida.Najaribu kote kote,UTT ukuzaji mtaji ni mdogo sana.
Situmii UTT kama biashara mie, faida zake hazinikeri.
Me naweka pesa zangu. Siku nikifulia nizifate
 
Nina experience mbaya kidogo na UTT,kama unataka kuuza vipande vyako upate hela nenda moja moja kwenye ofisi zao UTT. Kupitia CRDB utapata usumbufu mwingi sana. Mimi nina siku ya nane leo sijapata hela yangu.
Process ni kufika ofisini kwao na kuwaambia unataka uza vipande/ kutoa pesa, wao watakupa fomu ujaze.
 
Ila aisee huduma ni changamoto. Baada ya kufungua kwa simu nilifika crdb nikajaza fomu but mpaka leo hakuna update yoyote.
Mbaya zaid siminvest nimefungiwa maana niliombwa password na password sina. Katika kujaribu nikawa blocked.
Wazoefu nipeni mwongozo nafanyaje hapo?
 
nashukuru sana mkuu lakini jibu lako limefika kwa kuchelewa nimeshafungua liquid account ambayo nimeona kwenye huu uzi watu wengi wameshauri.Pia nimshukuru kila mtu aliyechangia humu,nimeshawishika na nimeshaanza kuwekeza
Sasa , PassWord ya Ile App , Uliipata wapi ?
 
Wadau naomba kueleweshwa. Nina mpango was kukuza mtaji ili nikistaafu nibaki na chochote maana hizi stori za kikokotoo kipya sizielewi. Nikijibana bana ninaweza kuweka laki 3 mpaka 4 Kwa mwezi Kwa sasa. Endapo mambo yatakuwa mazuri nitaongeza kulingana na kipato Cha wakati huo. Mpango wangu ni wa miaka 15 mpaka 18 ili nikifikisha 55 nistaafu kwa hiyari. Ni mfuko upi mzuri ambao utanisaidia kukuza mtaji na usio na usumbufu wa kutoa ikiwa nitapata shida kubwa.
 
Liquid.. siku 3

Bond siku 10
 
Nina experience mbaya kidogo na UTT,kama unataka kuuza vipande vyako upate hela nenda moja moja kwenye ofisi zao UTT. Kupitia CRDB utapata usumbufu mwingi sana. Mimi nina siku ya nane leo sijapata hela yangu.
Mfuko gani mkuu?
 
Process ni kufika ofisini kwao na kuwaambia unataka uza vipande/ kutoa pesa, wao watakupa fomu ujaze.
Siyo lazima kufika ofisini kwao mkuu, unaweza kujaza form na kuituma kwa email, kutegemeana na aina ya mfuko, utapata pesa
 
Ila aisee huduma ni changamoto. Baada ya kufungua kwa simu nilifika crdb nikajaza fomu but mpaka leo hakuna update yoyote.
Mbaya zaid siminvest nimefungiwa maana niliombwa password na password sina. Katika kujaribu nikawa blocked.
Wazoefu nipeni mwongozo nafanyaje hapo?
Simbanking nenda tawi la CRDB lililo karibu na wewe, watakusaidia kuifungua, Kisha kama unataka kulipia units via hiyo simbanking app...inakuwa nzuri sana
 
Back
Top Bottom