Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

Kama unapesa kuanzia million 5 ni vyema ukaweka Bond maana wanatoa dividend za 50,000 kwa muwekezaji wa 5m
Sema tu ni kwa vile mtu bado anakuwa hajajua pesa yake aifanyie nn ilipe, bt in reality kuweka 5M Kwa reward ya elfu 50 sio fair kabisa, 5m ukiizungusha kwenye business inaweza ikakupa mpk zaid ya 1m kila mwez.
 
Weeee [emoji276][emoji276]
Mbona kama huu ni udanganyifu?

What I know abt ukwasi ni ile rate ya 1% ya balance yako kwa kila mwezi
Loo, nimebug kdg, ukwasi ni sahihi wanakupa 1%ya balance yako each month, bt still ni ndogo sana. Wana mfuko wenye faida zaidi ya hii?
 
Sema tu ni kwa vile mtu bado anakuwa hajajua pesa yake aifanyie nn ilipe, bt in reality kuweka 5M Kwa reward ya elfu 50 sio fair kabisa, 5m ukiizungusha kwenye business inaweza ikakupa mpk zaid ya 1m kila mwez.
Ni kweli ila pia kuna interest ya mwaka 14% ukitoa hio 50k ya kila mwezi, alafu kuna watu hawapendi biashara au hawaamini kwenye mafanikio ya biashara na wamebarikiwa pesa nyingi. Sasa mtu wa hivyo ni vyema awekeze UTT huku anaendelea na shughuli zake at least imzalishie kidogo.
 
Loo hii ndo naijua leo mkuu, hyo ni kwa mfuko upi?
 
Mifuko yao inaendana endana kwenye faida ya watoto ina return mpaka 16% kwa mwaka, ni sehemu nzuri ya kumtunzia mtoto pesa.
Hii faida inatolewa kila mwezi, je inakuwa compounded kila mwezi au ni faida ya mwezi.
Mfano laki moja.
100,000*16% sawa na tshs 16,000
Kwa hiyo kwa mwaka ni 116,000
Au
Kuna utaratibu wanacompound kila mwezi?
 
Sema tu ni kwa vile mtu bado anakuwa hajajua pesa yake aifanyie nn ilipe, bt in reality kuweka 5M Kwa reward ya elfu 50 sio fair kabisa, 5m ukiizungusha kwenye business inaweza ikakupa mpk zaid ya 1m kila mwez.
Hapana ni fair kwa sababu wao wanakufanyia kila kitu yaani unapata pesa ambayo ipo tayari kuliwa hujakutana na shuruba ya aina yoyote
 
Back
Top Bottom