Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

ndio unaruhusiwa kukopea, yes io ni kama dividend za kuwekeza
Mkuu fanya kunisaidia,mfano ni hela yangu let say millioni 5 nataka kuiweka huko kwenye UTT,hii ni hela naiweka tu ili izae...je naanzaje? mfuko upi mzuri? usalama wa hii hela upoje kipindi hiki cha vitu kupanda bei hovyo? mimi nahitaji mfuko wa kufanya kama kibubu tu.
 
Asante mleta mada barikiwa sana[emoji120] nimejifunza kitu kikubwa sana hapa.. Ninatamani sana kufanya biashara ila kutokana na nature yakazi yangu hua inaniwia vigumu kuthubutu ila kwa huu uzi I swear nimepata mwanga
[emoji120]
 
Kwa vile thamani ya kipande (Net asset value per unit) hukokotolewa kila siku kwa kila mfuko wao, unaweza kukokotoa thamani ya uwekezaji wako kila utakapo.

Mimi kwa mfano huwa ninakokotoa thamani ya uwekezaji wangu mara 1 kila wiki. Unaweza kukokotoa hata kila siku.

Thamani za vipande siku kwa siku zinapatikana katika website ya utt, kwenye application ya utt ukiwa nayo, na mara nyingine huchapwa katika baadhi ya magazeti.
mkuu,nimepakua app ya UTT,nimejaza namba za simu kwenye kujisajili,nikatumiwa zile code kwa sms nikaingia,sasa wakataka password....hizo password ndio zipi? maa a nilijua naset password zangu mpya kila nikijaribu zinakataliwa.
 
Mkuu wapigie 0754800455, 0715800455, 0782800455. Ukitumia mtandao unaolingani ni bure kuwapigia.

Mimi nilijiunga zamani hivyo sina jibu la haraka.
 
Mkuu fanya kunisaidia,mfano ni hela yangu let say millioni 5 nataka kuiweka huko kwenye UTT,hii ni hela naiweka tu ili izae...je naanzaje? mfuko upi mzuri? usalama wa hii hela upoje kipindi hiki cha vitu kupanda bei hovyo? mimi nahitaji mfuko wa kufanya kama kibubu tu.
Mfuko wa Ummmoja ndio utakua mzuri kwako, uzuri sikuhizi una monitor progress ya pesa yako kwenye simu kutumia UTT Amis app, kwahiyo utaona pale pesa yako inavyoongezeka, ila kama una million 5+ ni kheri uweke kwenye bond account, japo pia unaweza kufungua hata mifuko yote ukitaka hakuna limit, na kuhamisha kutoka mfuko mmoa kwenda mwengine ni bure, kama una watoto au wajukuu pia unaweza wafungulia account ya watoto ambayo hataruhusiwa kutoa pesa mpaka afike miaka 12
 
mkuu,nimepakua app ya UTT,nimejaza namba za simu kwenye kujisajili,nikatumiwa zile code kwa sms nikaingia,sasa wakataka password....hizo password ndio zipi? maa a nilijua naset password zangu mpya kila nikijaribu zinakataliwa.
sasa hapo itabidi upige *150*82# ku set password yako
 
Mfuko wa Ummmoja ndio utakua mzuri kwako, uzuri sikuhizi una monitor progress ya pesa yako kwenye simu kutumia UTT Amis app, kwahiyo utaona pale pesa yako inavyoongezeka, ila kama una million 5+ ni kheri uweke kwenye bond account, japo pia unaweza kufungua hata mifuko yote ukitaka hakuna limit, na kuhamisha kutoka mfuko mmoa kwenda mwengine ni bure, kama una watoto au wajukuu pia unaweza wafungulia account ya watoto ambayo hataruhusiwa kutoa pesa mpaka afike miaka 12
nashukuru sana mkuu lakini jibu lako limefika kwa kuchelewa nimeshafungua liquid account ambayo nimeona kwenye huu uzi watu wengi wameshauri.Pia nimshukuru kila mtu aliyechangia humu,nimeshawishika na nimeshaanza kuwekeza
 
hongera sana, liquid ni nzuri kwasababu ukitaka kutoa pesa ni ndani ya siku 3 tu. Pia unaweza fungua account nyengine hakuna limit.
 
nashukuru sana mkuu lakini jibu lako limefika kwa kuchelewa nimeshafungua liquid account ambayo nimeona kwenye huu uzi watu wengi wameshauri.Pia nimshukuru kila mtu aliyechangia humu,nimeshawishika na nimeshaanza kuwekeza
Hongera sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom