Mkuu fanya kunisaidia,mfano ni hela yangu let say millioni 5 nataka kuiweka huko kwenye UTT,hii ni hela naiweka tu ili izae...je naanzaje? mfuko upi mzuri? usalama wa hii hela upoje kipindi hiki cha vitu kupanda bei hovyo? mimi nahitaji mfuko wa kufanya kama kibubu tu.ndio unaruhusiwa kukopea, yes io ni kama dividend za kuwekeza