Mkuu fanya kunisaidia,mfano ni hela yangu let say millioni 5 nataka kuiweka huko kwenye UTT,hii ni hela naiweka tu ili izae...je naanzaje? mfuko upi mzuri? usalama wa hii hela upoje kipindi hiki cha vitu kupanda bei hovyo? mimi nahitaji mfuko wa kufanya kama kibubu tu.ndio unaruhusiwa kukopea, yes io ni kama dividend za kuwekeza
[emoji120]Asante mleta mada barikiwa sana[emoji120] nimejifunza kitu kikubwa sana hapa.. Ninatamani sana kufanya biashara ila kutokana na nature yakazi yangu hua inaniwia vigumu kuthubutu ila kwa huu uzi I swear nimepata mwanga
mkuu,nimepakua app ya UTT,nimejaza namba za simu kwenye kujisajili,nikatumiwa zile code kwa sms nikaingia,sasa wakataka password....hizo password ndio zipi? maa a nilijua naset password zangu mpya kila nikijaribu zinakataliwa.Kwa vile thamani ya kipande (Net asset value per unit) hukokotolewa kila siku kwa kila mfuko wao, unaweza kukokotoa thamani ya uwekezaji wako kila utakapo.
Mimi kwa mfano huwa ninakokotoa thamani ya uwekezaji wangu mara 1 kila wiki. Unaweza kukokotoa hata kila siku.
Thamani za vipande siku kwa siku zinapatikana katika website ya utt, kwenye application ya utt ukiwa nayo, na mara nyingine huchapwa katika baadhi ya magazeti.
Mkuu wapigie 0754800455, 0715800455, 0782800455. Ukitumia mtandao unaolingani ni bure kuwapigia.mkuu,nimepakua app ya UTT,nimejaza namba za simu kwenye kujisajili,nikatumiwa zile code kwa sms nikaingia,sasa wakataka password....hizo password ndio zipi? maa a nilijua naset password zangu mpya kila nikijaribu zinakataliwa.
Mfuko wa Ummmoja ndio utakua mzuri kwako, uzuri sikuhizi una monitor progress ya pesa yako kwenye simu kutumia UTT Amis app, kwahiyo utaona pale pesa yako inavyoongezeka, ila kama una million 5+ ni kheri uweke kwenye bond account, japo pia unaweza kufungua hata mifuko yote ukitaka hakuna limit, na kuhamisha kutoka mfuko mmoa kwenda mwengine ni bure, kama una watoto au wajukuu pia unaweza wafungulia account ya watoto ambayo hataruhusiwa kutoa pesa mpaka afike miaka 12Mkuu fanya kunisaidia,mfano ni hela yangu let say millioni 5 nataka kuiweka huko kwenye UTT,hii ni hela naiweka tu ili izae...je naanzaje? mfuko upi mzuri? usalama wa hii hela upoje kipindi hiki cha vitu kupanda bei hovyo? mimi nahitaji mfuko wa kufanya kama kibubu tu.
sasa hapo itabidi upige *150*82# ku set password yakomkuu,nimepakua app ya UTT,nimejaza namba za simu kwenye kujisajili,nikatumiwa zile code kwa sms nikaingia,sasa wakataka password....hizo password ndio zipi? maa a nilijua naset password zangu mpya kila nikijaribu zinakataliwa.
nashukuru sana mkuu lakini jibu lako limefika kwa kuchelewa nimeshafungua liquid account ambayo nimeona kwenye huu uzi watu wengi wameshauri.Pia nimshukuru kila mtu aliyechangia humu,nimeshawishika na nimeshaanza kuwekezaMfuko wa Ummmoja ndio utakua mzuri kwako, uzuri sikuhizi una monitor progress ya pesa yako kwenye simu kutumia UTT Amis app, kwahiyo utaona pale pesa yako inavyoongezeka, ila kama una million 5+ ni kheri uweke kwenye bond account, japo pia unaweza kufungua hata mifuko yote ukitaka hakuna limit, na kuhamisha kutoka mfuko mmoa kwenda mwengine ni bure, kama una watoto au wajukuu pia unaweza wafungulia account ya watoto ambayo hataruhusiwa kutoa pesa mpaka afike miaka 12
hongera sana, liquid ni nzuri kwasababu ukitaka kutoa pesa ni ndani ya siku 3 tu. Pia unaweza fungua account nyengine hakuna limit.nashukuru sana mkuu lakini jibu lako limefika kwa kuchelewa nimeshafungua liquid account ambayo nimeona kwenye huu uzi watu wengi wameshauri.Pia nimshukuru kila mtu aliyechangia humu,nimeshawishika na nimeshaanza kuwekeza
Asante kaka,ila naomba kuuliza,ukishaweka pesa kupitia CRDB ni baada ya muda gani inaanza kusoma kwenye app ya UTT?hongera sana, liquid ni nzuri kwasababu ukitaka kutoa pesa ni ndani ya siku 3 tu. Pia unaweza fungua account nyengine hakuna limit.
Kweli mkuu, ata gawio pia hazitofautiani sana its almost the samehongera sana, liquid ni nzuri kwasababu ukitaka kutoa pesa ni ndani ya siku 3 tu. Pia unaweza fungua account nyengine hakuna limit.
Mm ilianza kusoma baada ya siku tatu za kazi, so kama umeweka na bado haijasoma relax, cha muhim uwe umepata risiti.Asante kaka,ila naomba kuuliza,ukishaweka pesa kupitia CRDB ni baada ya muda gani inaanza kusoma kwenye app ya UTT?
Hongera sana Mkuu.nashukuru sana mkuu lakini jibu lako limefika kwa kuchelewa nimeshafungua liquid account ambayo nimeona kwenye huu uzi watu wengi wameshauri.Pia nimshukuru kila mtu aliyechangia humu,nimeshawishika na nimeshaanza kuwekeza
Jana imeanza kusoma boss,na je faida inaanza kusoma lini?Mm ilianza kusoma baada ya siku tatu za kazi, so kama umeweka na bado haijasoma relax, cha muhim uwe umepata risiti.
Faida inasoma kila siku, the more the deposit, the more the increase,.Jana imeanza kusoma boss,na je faida inaanza kusoma lini?
Niliambiwa hivyo pia,lakini nimedeposit hela juzi,jana imeanza kusoma kwenye akaunti,ila salio ni lile lile mpaka leo.Faida inasoma kila siku, the more the deposit, the more the increase,.
nashukuru kaka,nimeanza kusoma faida,je nikitaka kuirudisha hii faida kwenye mtaji nafanyaje? au kama nikitaka kuitoa faida tu,nafanyaje?Faida inasoma kila siku, the more the deposit, the more the increase,.
kwa mwezi mostly ina increase by 1- 2%, unajua ni ngumu kuona kama imeongezeka pesa inavyokuwa ndogo , relax ndan ya mwaka ndio utaona mabadiliko makubwaNiliambiwa hivyo pia,lakini nimedeposit hela juzi,jana imeanza kusoma kwenye akaunti,ila salio ni lile lile mpaka leo.