Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ndugu zangu salaam
Mke wangu anajumla ya mzunguko wa siku 25 . mwezi uliopita aliona siku zake tarehe 11/08 /2024 na nilikutana nae kimwili kwenye siku zake za hatari kwanzia tarehe 8/08 mpaka tarehe 15/08/2024 kwa sababu tulikua tunataka mtoto.
Alitarajia kuona siku zake tarehe 05/09/2024 ila cha kushangaza hakuingia japo mwanzo alikua anadai anahisi kichefuchefu, joto kupanda, uchovu na maumivu kwenye ziwa lake la kulia.
Kwasababu lengo letu ni kupata mtoto hatukuhangaika kupima ili tujue kama mimba imesha tunga au laha..
Sasa baada ya kutoona siku zake hiyo tarehe 05/09... ,tarehe 07/09 ameanza kutokwa na damu nyepesi tofauti na damu ya siku zake kwa jinsi anavyoona yeye na leo tena anatokwa na damu ya mabonge bonge..
Kinachotushinda kujua hapa je, ni yupo kwenye siku zake na zimekuja kwa kuchelewa au ni alishika mimba na sasa mimba imeharibika ?
Naomba wenye uzoefu na hili waweke busara na hekima zao hapa kabla sijampeleka hospital ndugu zangu
Asanteni sana.