Ni kanuni...mwenye nacho ataongezewa.twende na mororco
Sidhani kama ameonyesha Ubora timu zilizopita nyingine za Africa zilizofika Last 8 zilikuwa zinacheza mpira wa kuvutia na attacking na zote zilitoka kwa bahati mbaya Camerooun vs England (kwa penati mbili na walitoka kwenye extra time 2-3) Senegal alifungwa na Uturuki bao Moja na Ghana alifungwa kwa Penati baada ya Suarez Kujifanya kipa...Ni kanuni...mwenye nacho ataongezewa.
Hivyo Morocco ameonyesha ubora amejiongezea washabiki.
Twende naye
Bahati mbaya ubora au ushindi wa soka unaamuliwa na magoli, hata kama timu itajifunga yenyewe mpinzani anapewa ushindi.Sidhani kama ameonyesha Ubora timu zilizopita nyingine za Africa zilizofika Last 8 zilikuwa zinacheza mpira wa kuvutia na attacking na zote zilitoka kwa bahati mbaya Camerooun vs England (kwa penati mbili na walitoka kwenye extra time 2-3) Senegal alifungwa na Uturuki bao Moja na Ghana alifungwa kwa Penati baada ya Suarez Kujifanya kipa...
Kwahio tumeshindwa kwa kucheza All out Attacking huenda ni Wakati wa Kushinda kwa ku-Play Ugly (Defensive Minded)
Hivi unajua kwanini Brazil ni ina mashabiki wengi duniani na kwa kipindi kirefu ingawa Ujerumani nayo ina Rekodi nzuri watu walikuwa wanaichukia?Bahati mbaya ubora au ushindi wa soka unaamuliwa na magoli, hata kama timu itajifunga yenyewe mpinzani anapewa ushindi.
Ubora na ushindi hauko ndani ya uwanja bali golini mkuu kwa eidha kuzuia usifungwe au kufunga basi
Sio lazima kila mtu apite njia moja ya mafanikio. Kwa style yao iyo iyo akiwa na nidhamu anaweza akafika mbali zaidi ya hao wengineSidhani kama ameonyesha Ubora timu zilizopita nyingine za Africa zilizofika Last 8 zilikuwa zinacheza mpira wa kuvutia na attacking na zote zilitoka kwa bahati mbaya Camerooun vs England (kwa penati mbili na walitoka kwenye extra time 2-3) Senegal alifungwa na Uturuki bao Moja na Ghana alifungwa kwa Penati baada ya Suarez Kujifanya kipa...
Kwahio tumeshindwa kwa kucheza All out Attacking huenda ni Wakati wa Kushinda kwa ku-Play Ugly (Defensive Minded)
Morroco anaweza ifunga team yeyote dunianiDuh huenda Safari ikafikia Kikomo.....
Wakipenya ni either German au Spain....
Nadhani ni Bora iwe German sababu wakimfunga huyo ni either Portugal / Swiss alafu huenda ikawa France then Fainali
Ni mwendo wa discipline na Defense..., Matuta all the Way...
Ficha ujinga wakoKwenye Karatasi hata Taifa Stars anaweza kufanya hivyo....
Aisee !!!!! Duh!!!!!!Ficha ujinga wako
Ka sare na crotia mshindi wa pili wa world cup
Kampiga number 4 wa FIFA RANKING
Nani wa kumshindwa?
Kwani ufaransa ilikuwa na nini?Aisee !!!!! Duh!!!!!!
Kwahio Senegal 2002 alivyomfunga France ingebidi achukue Kombe la Dunia ? (Sio Sare bali alimfunga Kabisa)
Au unadhani mpira ni kama Draft au Chess ukimfunga huyu basi unawazidi wote waliofungwa nae...
Umesema Croatia iliingia Fainali World Cup iliyoisha Nakwambia Ufaransa ilishinda Kombe la Dunia let alone kufika Fainali na wakiwemo kina ZidanneKwani ufaransa ilikuwa na nini?
Unajua ile France ilikuwa na kina nani ?Asa kama senegal alimfunga ufaransa ile
Hicho kizazi kimefanya nini mpaka sasa ?Mbona morroco imekifunga kizazi cha dhahabu cha Beligimu?
Cup competition haijalishi wewe ni mzuri kiasi gani unaweza ukawa timu mbovu ukachukua Kombe la Dunia au Cup Competition yoyote ile..., na mimi nimeanzisha huu uzi nikisema hivyo Morocco wanaweza kufika mbali sio kwa kuwa na timu mahili bali kwa kuwa na discipline imeshaweka clean sheets kama tano au sita tangia huyu kocha achukue timu....Nakwambia morroco hakuna team ya kumtisha
Ujinga mtupuUmesema Croatia iliingia Fainali World Cup iliyoisha Nakwambia Ufaransa ilishinda Kombe la Dunia let alone kufika Fainali na wakiwemo kina Zidanne
Unajua ile France ilikuwa na kina nani ?
Hicho kizazi kimefanya nini mpaka sasa ?
Cup competition haijalishi wewe ni mzuri kiasi gani unaweza ukawa timu mbovu ukachukua Kombe la Dunia au Cup Competition yoyote ile..., na mimi nimeanzisha huu uzi nikisema hivyo Morocco wanaweza kufika mbali sio kwa kuwa na timu mahili bali kwa kuwa na discipline imeshaweka clean sheets kama tano au sita tangia huyu kocha achukue timu....
Ila ukikutana na timu ambazo zinaweza ku-unlock defense na individual brilliance ni ngumu kuliko otherwise..., Pia World Cup inategemea bahati unaweza ukakuta na vibonde mpaka fainali; lakini German na Spain sio Vibonde...
Kwenye Karatasi hata Taifa Stars anaweza kufanya hivyo....
Duh hivi tunaelewana lakini ?!!!Hivi unapata wapi ujasiri wa kuifananisha morocco na kitaifa stars!!
Kwa sasa morocco ndie wakutuwakilisha japo senegal na ghana wamepata matokeo mazuri, lakini kimpira morocco is the best.