Je, ni Morocco watakaovunja rekodi ya kufika Semi's?

Je, ni Morocco watakaovunja rekodi ya kufika Semi's?

I so looove how you hit that daymn u turn...
Hivi unajua nani aliyeleta huu Uzi ? Nilisema haya hata kabla ya mechi na Canada... Hii ndio Cup Competition discipline and defense ndio kilichowafanya wawepo hapa na Croatia kuwepo pale sio vinginevyo....
 
Well Done Avocado Head....

Morocco head coach Walid Regragui, speaking to French TV channel TF1: "We came up against a really great Portugal team. We're drawing on all we have, we still have guys injured. I told the guys before the match we had to write history for Africa. I'm very, very happy,"
 
Attachments

  • 1670690493512.png
    1670690493512.png
    138 KB · Views: 3
Tuwaombee senene na Morocco wavuke, ila wasiombe wakutane na akina rodrigo de Paul 😄😄 tutawapasua aise
Wamevuka. Argentina watakiwa wajirekebishe sana kama kweli wataka kushinda kombe. Wanamapungufu mengi wanategemea san juhudi ya mchezaji mmoja mmoja.
 
Kwa kweli kwa mpira huu hata Croatia anaweza kuchukua ndoo
Kwa mpira huu ni rahisi kwa Croatia na hata Morocco kuchukua ndoo kuliko Argentina..., Utauliza kwanini....

Hii ni Cup Competition na discipline is the key...

Sasa wewe huwezi ukawa umeshinda bao mbili alafu zikarudi (hio inaonyesha lack of concentration na upuuzi wa hali ya juu) na kwenye this kind of competition with these stakes unakuwa punished (wasipojirekebisha Argentina wataondoka) School boy Errors....
 
Aah bana waholanzi wape heshima yao. Walitumia maarifa makubwa sana. Check goal la pili.

Portugal nao waliiga ile mbinu ikawa tayar watu wanaijua.

All in all Morocco kwenye kulinda nawapa Salute. Hakuna timu ya hivo dunia yote. Wanapelekewa mashambulizi makali sana lkn wana survive na bado wanakupiga counter za hatar. Wangekua na finishers wazur ile juzi wangewapiga wareno 3-0
 
Am not taking anything away from the Dutch..., lakini ni uzembe kwa Argentina na hii ilitokea pia kwa Saudia kuwafunga baada ya kuwa wameongeza... ni kama ile game Champions League ya AC Milan na Liverpool yaani half time umeshinda 3 bila alafu zinarudi !!!

Ofcourse ukifungwa la kwanza unachanganyikiwa na kupanic hence more mistakes..., lakini point yangu ushashinda mbili unashusha skyscraper let alone kupaki basi...

Uzuri wa Morocco tofauti na Kupaki defense ni ile workmanship yaani wanajituma na kufanya kazi kubwa sana ni kama Jürgen Klopp alivyoweza kucheza na kina Barca akiwa Dortmund au akiwa Liverpool na Man city, ila ukweli ni kwamba huwezi kucheza kwa kutumia hizo energy msimu mzima it needs high energy levels wakati watu kama spain wanao-keep possessions kwa kupass wanaweza kufanya hivyo kwa wiki nzima....
 
Peter Drury Strike again...

"IT IS A MOROCCAN MARVEL! THE ATLAS LIONS ARE NOW JUST ONE MORE PROWLING STEP FROM THE WORLD CUP FINAL ITSELF!

"THE ARAB WORLD UNITES! THE AFRICAN CONTINENT BELIEVES! ITS STANDARD BEARER CONTINUES TO CONJURE WITH THE BARELY BELIEVABLE! "FOR THE FIRST TIME IN THE HISTORY OF THE WORLD CUP THERE WILL BE AN AFRICAN NATION IN THE SEMIFINALS! AND PORTUGAL ARE OUT, AND CRISTIANO RONALDO IS OUT!"
 
Final: Croatia Vs France
Champion - France

Third place Winner: Morocco.
 
Final: Croatia Vs France
Champion - France

Third place Winner: Morocco.
Inawezekana hapo wote wanaweza kufika popote..., Argentina Defense yao ya kuweza kupigwa magoli / kurudisha magoli wakati mmeshashinda haileti confidence hususan kwenye hizi hatua ambazo mistakes gets punished
 
Hakika chochote kinaweza kutokea hata Argentina akirekebisha defense yake anaweza kufanya vizuri na kupita.
 
No their walk has ended, Hopefully we shall see more of the likes of them again and again and again...

Next Bar Finals or even Trophy for African Team
 
Aah bana waholanzi wape heshima yao. Walitumia maarifa makubwa sana. Check goal la pili.

Portugal nao waliiga ile mbinu ikawa tayar watu wanaijua.

All in all Morocco kwenye kulinda nawapa Salute. Hakuna timu ya hivo dunia yote. Wanapelekewa mashambulizi makali sana lkn wana survive na bado wanakupiga counter za hatar. Wangekua na finishers wazur ile juzi wangewapiga wareno 3-0
Mkuu umeona niliyokuwa nasema yaani shots on target tano bao tatu na hapo mpaka half time mnaongoza mbili bila !!!

Kwakweli hii timu kuna tatizo fulani haileti confidence kabisa
 
Back
Top Bottom