Possible ila it has/will never be easier kuliko leo..., ungeiambia Timu yoyote ya Africa kwamba Ukutane na Portugal kuingia Semi's wangeshangilia hio opportunity...Labda semi final ya Afcon. Mwendo wana umaliza leo hao, mark my words
Ha ha ha labda kwa mitishamba au AlbadrMorocco anashinda
Ha ha ha labda hivyo inaweza kuwasaidiaMitishamba haifanyi kazi kwenye Pitch ni mwendo wa kupaki Treni au gradder
Kweli kabisa wanakosa striker leo wamepoteza nafasi nyingi sana za wazi.Yametimia. Yametiamia, yaliyomkuta Hispania watu wakawachukulia Hispania wazembe hawana timu ngoja wakutane na Ureno watapigwa kama ngoma. Lakini mwisho wa siku Morocco wameonesha kuwa sio timu ya mchezo mchezo. Hawa jamaa wangekuwa na washambuliaji makini basi hakuna timu isingeweza kutoboa kwao. Wangepigwa watu za kutosha sana
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kafika ½Sio lazima kila mtu apite njia moja ya mafanikio. Kwa style yao iyo iyo akiwa na nidhamu anaweza akafika mbali zaidi ya hao wengine
Leo amethibitishaMorroco anaweza ifunga team yeyote duniani
[emoji264][emoji264][emoji264]Labda semi final ya Afcon. Mwendo wana umaliza leo hao, mark my words
Ni noma huu utabiriMorocco atafika robo na semi.
Senegal na Ghana hawa ni ngumu sana kufika.
I so looove how you hit that daymn u turn...Kwenye Cup Competitions..., Na kipa wao ku-save hizo penalty itafanya timu ikifika matuta wapigaji miguu iwe inatetemeka....
Daymn...just give credits where its due.Possible ila it has/will never be easier kuliko leo..., ungeiambia Timu yoyote ya Africa kwamba Ukutane na Portugal kuingia Semi's wangeshangilia hio opportunity...
Kama watu wamewatoa Brazil jana kwa kuwa na One Short on Target unategemea nini ?
Hio ndio Cup Competition you can win without being a better team