Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

Hii series wazungu walifanya fitna tuu baada ya kuona kwamba inaenda kuipiku The walking dead ambazo zote zinazalishwa na AMC ila huu mzigo bado sana pale mwishoni tunamuona yule dogo anaokota bastora alafu akawa anaishangaa
daaah fitina hiyo si nzuli kbsa.
 
Yani Mimi kitendo Cha kuonekana starring pembeni mwa swimming pool ndiyo kimenipa mzuka was kutaka muendelezo.
Ila Escobar kauliwa kindezi😀
mwandishi wa hii movie aliitendea haki ipasavyo lakini mzigo naona utamwangukia tena yeye ili aelezee je inamwendelezo au la!!.
 
mara paap into the badland inaendelea na adui ni scott adkins [boyca]
 
naombeni list za movie za aina au maudhui ya escape room
 
Teen wolf ndio best
Hahaha nikitaka kucheka hua naweka Teen Wolf kwa series na Think like a Man too kwa Movie, hua nacheka sanaa,

Speaking of teen wolf, hawajatutendea haki kuimaliza ilitakiwa iendelee kwa Liam kuchukua kijiti cha Scott.

Stiles nammiss sana, lakini zaidi Uncle Peter ndio ananikosha mule.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema mi naanza na survive island ww je
Movie nzuri sana hii, yule demu alijua kuniokosha plus vimbwanga vya wale jamaa sikutamani hata iishe,
 
Kama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee.

Kwangu mimi ifuatayo ni list ya ya movie ninazotamani zipate kuendeleaa au kama zina mwendelezo usisite kushare nasi hapa.
[1]Extraction
[2]The great wall
[3]Bad genius
[4]In the name of the king
[5]Maze runner
[6]The euronauts

Hizi nazo niliishia hapo sijapata kuona zikiendelea [1]Resdental Evil kuanzia 1,2,3,4,5,6,7........
[2]Pirate of the caribbean kuanzia 1,2,3,4,5,6,7,8
Maze runner ina muendelezo, ko zinakua 3.
Ya pili Inaitwa maze runner: scorch trials na ya Tatu ni maze runner: death cure
 
Strike back, Nikita na The last ship zote ni series za kijasusi ni hatari ...
 
Kama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee.

Kwangu mimi ifuatayo ni list ya ya movie ninazotamani zipate kuendeleaa au kama zina mwendelezo usisite kushare nasi hapa.
[1]Extraction
[2]The great wall
[3]Bad genius
[4]In the name of the king
[5]Maze runner
[6]The euronauts

Hizi nazo niliishia hapo sijapata kuona zikiendelea [1]Resdental Evil kuanzia 1,2,3,4,5,6,7........
[2]Pirate of the caribbean kuanzia 1,2,3,4,5,6,7,8
maze runner imeendelea, kuna skotch trial na death cure
 
Back
Top Bottom