Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

Spartacus ingeendela,
Wrong Turn kimyaa,
Van Helsing miss u,
Dracula untold bado sijakata tamaa,
Interview with a vampire daah wajitokeze wana waipige part two,
Single ladies nimemiss machachari ya Keisha,
Secret Circle sio fair kabisa kutuacha njia panda.

Sorry nimemix movies na series.
 
Kama umenote kitu mwisho wa movie wakati yule dogo yuko kwenye pool starring hajafa,stay tuned
Mwanzo nilifikiri hivyo ila sio, dogo alikua anaona blur image kama vile jamaa alivyokua anaona wakati akimkumbuka mwanaye aliyefariki so ni kama dogo naye imemtokea ile hali baada ya jamaa kufariki.
 
HIKI CHUMA INTO THE BADLAND SIJAONA KABISA. UTATA MWING BALAA HAPO MWISHONI JE SUN ALIKUFA? NA VIP KUHUSU TIRIDA NAE ALIKUFA ? NA VIPI KUHUSU YULE MAMA MGANGA ALIENDA KUUNDA JESHI LAKE JE ITAKUAJE ?. HAYA NI MASWALI AMBAYO SINA MAJIBU YAKE .
 
Spartacus ingeendela,
Wrong Turn kimyaa,
Van Helsing miss u,
Dracula untold bado sijakata tamaa,
Interview with a vampire daah wajitokeze wana waipige part two,
Single ladies nimemiss machachari ya Keisha,
Secret Circle sio fair kabisa kutuacha njia panda.

Sorry nimemix movies na series.
Single ladies, kila episode unaenjoy.
 
ehhh na hii?
Ilitoka season moja pekee, itafute halafu rudi nijibu. View attachment 1471501View attachment 1471502
Screenshot_20200607-220233_Chrome.jpg
 
Spartacus ingeendela,
Wrong Turn kimyaa,
Van Helsing miss u,
Dracula untold bado sijakata tamaa,
Interview with a vampire daah wajitokeze wana waipige part two,
Single ladies nimemiss machachari ya Keisha,
Secret Circle sio fair kabisa kutuacha njia panda.

Sorry nimemix movies na series.
hivi ni kwa nini wanatuachia majonzi hivi hawa jamaa😖😖
 
ki ukweli ktk muvi hii jamaa wametuacha na maswali meng bila wao kujijua. vipi na hiki chuma cha pirate of the caribbean ushakimulika ?
My favorite Captain,
Johnny Deep was born to be a Jack Sparrow no body can replace him,

Kama ambavyo Angelina Jolie alivyozaliwa kua Maleficent,

Lol.
 
My favorite Captain,
Johnny Deep was born to be a Jack Sparrow no body can replace him,

Kama ambavyo Angelina Jolie alivyozaliwa kua Maleficent,

Lol.
JACK alionekana man of the match kila kukicha hata will analijua hilo.
 
Back
Top Bottom