Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

Jamaa anapewa dili ya kumuokoa mtoto wa gaidi flani aliyetekwa nyara wakati baba yake amefungwa gerezani. Process nzima ya kumuokoa huyo mtoto hadi anafanikiwa iko very interesting japo mwisho starring anafariki hapo ndio sijaelewa.
Kama umenote kitu mwisho wa movie wakati yule dogo yuko kwenye pool starring hajafa,stay tuned
 
1]battleship [john cartel wa mars kaua humu ndani sambamba na rihanna] [ 2] ATTRACTION ------ hii nayo ni Kama battleship but utata upo pale mwishoni STAR baada ya kupigwa risasi na gaidi flani alionekana kama kufumbua mcho kwa mbali na picha kuishia hapo hapo [3]unspurted [BOYCA] 🔥 🔥 🔥
 
Kama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee.

Kwangu mimi ifuatayo ni list ya ya movie ninazotamani zipate kuendeleaa au kama zina mwendelezo usisite kushare nasi hapa.
[1]Extraction
[2]The great wall
[3]Bad genius
[4]In the name of the king
[5]Maze runner
[6]The euronauts

Hizi nazo niliishia hapo sijapata kuona zikiendelea [1]Resdental Evil kuanzia 1,2,3,4,5,6,7........
[2]Pirate of the caribbean kuanzia 1,2,3,4,5,6,7,8
Series: Traveller
 
Back
Top Bottom