Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

Ukizama kwenye Hollywood movies, hata Wakorea utawaona miyeyusho hao Bongo movie sijui hata kama bado wana act.
hakika cha ajabu hku kwetu korean sijui drama sijui movie , series yaani hata sijui ni ziiteje ndo chaguo lao bila korean mambo hayaendi
 
NA BADO VIP KUHUSU YULE DOGO PALE MWISHONI ALIYE JIPENDEKEZA KUPANDA KULE JUU AKASHUSHWA NA VILE VYUMA VIPI SIJUI NAE ALIPONA? MAANA SLOGANI YA KULE ILIKUWA UKIFA TU UNAGEUZWA ROBOT.
Ndo hapo hatukujua itakuwaje wapo mpaka mwendelezo wake lakini imetoka mwaka jana sikosei tuwape muda au
 
Into the Badlands.
MV5BNGUzMmNkMWMtNTI4OC00ZGY1LThlZmUtMDI5YjYyZDE2MzE2XkEyXkFqcGdeQXVyMzY0MTE3NzU@._V1_SY1000_CR...jpg
 
Back
Top Bottom