Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
- Thread starter
-
- #101
daaah fitina hiyo si nzuli kbsa.Hii series wazungu walifanya fitna tuu baada ya kuona kwamba inaenda kuipiku The walking dead ambazo zote zinazalishwa na AMC ila huu mzigo bado sana pale mwishoni tunamuona yule dogo anaokota bastora alafu akawa anaishangaa
mwandishi wa hii movie aliitendea haki ipasavyo lakini mzigo naona utamwangukia tena yeye ili aelezee je inamwendelezo au la!!.Yani Mimi kitendo Cha kuonekana starring pembeni mwa swimming pool ndiyo kimenipa mzuka was kutaka muendelezo.
Ila Escobar kauliwa kindezi😀
hilo ni fumbo ambalo mi na wewe hatuna majibuSijaielewaga ilivyoisha..sun yupo nusu duniani nusu mfu..🤷
why?6 underground ile movie nzima ni kama trailer
umemaliza hii nayo napitia torrent kuishusha chapNa nusu.
Hahaha nikitaka kucheka hua naweka Teen Wolf kwa series na Think like a Man too kwa Movie, hua nacheka sanaa,Teen wolf ndio best
Movie nzuri sana hii, yule demu alijua kuniokosha plus vimbwanga vya wale jamaa sikutamani hata iishe,Kama kichwa cha habari kinavyosema mi naanza na survive island ww je
Huwa hainiishi kuitazamaMovie nzuri sana hii, yule demu alijua kuniokosha plus vimbwanga vya wale jamaa sikutamani hata iishe,
Maze runner ina muendelezo, ko zinakua 3.Kama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee.
Kwangu mimi ifuatayo ni list ya ya movie ninazotamani zipate kuendeleaa au kama zina mwendelezo usisite kushare nasi hapa.
[1]Extraction
[2]The great wall
[3]Bad genius
[4]In the name of the king
[5]Maze runner
[6]The euronauts
Hizi nazo niliishia hapo sijapata kuona zikiendelea [1]Resdental Evil kuanzia 1,2,3,4,5,6,7........
[2]Pirate of the caribbean kuanzia 1,2,3,4,5,6,7,8
Kyle xy umenikumbusha mbali bro1. Alcatraz
2. The Event
3. Kyle XY
4. Missing (Walitoa episodes chache sana)
Zamani. Za kaleki ukweli ktk muvi hii jamaa wametuacha na maswali meng bila wao kujijua. vipi na hiki chuma cha pirate of the caribbean ushakimulika ?
maze runner imeendelea, kuna skotch trial na death cureKama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee.
Kwangu mimi ifuatayo ni list ya ya movie ninazotamani zipate kuendeleaa au kama zina mwendelezo usisite kushare nasi hapa.
[1]Extraction
[2]The great wall
[3]Bad genius
[4]In the name of the king
[5]Maze runner
[6]The euronauts
Hizi nazo niliishia hapo sijapata kuona zikiendelea [1]Resdental Evil kuanzia 1,2,3,4,5,6,7........
[2]Pirate of the caribbean kuanzia 1,2,3,4,5,6,7,8