Je, Ni msanii gani wa Bongofleva aliyepotea katika muziki unatamani arudi katika muziki?

Bob Aisa ,aliyeimba mama nipe mgongo
 
Juma Mchopanga a.k.a Jay Mo ukipenda muite mbakiaji
 
Daah mi namkumbuka jamaa aliyeimba "mimi ni dokta leader.....ni msambaaa" nadhani Dr leader ndo lilikua jina lake la kisanii
 
Hivi roho 7 yupo wapi? mchizi hip hop sana. ..halafu kuna mchizi mmoja aliimba segereea ayeya. .mguu wake chiba!
 
Hivi roho 7 yupo wapi? mchizi hip hop sana. ..halafu kuna mchizi mmoja aliimba segereea ayeya. .mguu wake chiba!

roho 7 alikua noma sanaaaa nlisikia jamaa alitupa mic pembeni akaenda kuvaa gwanda JWTZ (sina uhakika) mwenye habari zaidi atatujuza
 
nani atazikumbuka nyimbo hizi ziliimbwa na wasichan flan hivi siwajui majina ila nakumbuka chorus zilikua hivi

Chorus ya kwanza
"ukitaka kwenda waweza kwenda kwani sikuhitaji tena maishani mwangu uwe wangu usiwe wangu yote ni sawa"


Chorus wimbo wa pili
"Niambie nikuelewe nipate kujua kama wanipenda nisije kupoteza muda kwa kuchunga ng'ombe sio wangu eeeh"


TBT zamani sana radio one sterio msaada pleasee
 

Huwazungumzii Unique sisters kweli ww? Kipozi family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…