Warumi 1:28Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu.
Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu.
Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu pia na kujiona kuwa ndani yetu hatuna connection ya kusaidiwa direct na Mungu. Tukisha ona tumepata msaasa hautuishi kusema "MUNGU WA MADHABAHU HII" mara "MUNGU WA NABII xxxx" .
Is God letting all this happen kwa maana tunapenda shortcut?
ThankxWarumi 1:28
[28]Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
And even as they did not like to retain God in their knowledge, God gave them over to a reprobate mind, to do those things which are not convenient;
Wewe mtu mpumbavu anakuja kukuambia upumbavu kuwa Mungu ana nafsi 3 na wewe bila kutumia chembe ya akili unasema huyo ni mtumishi wa Mungu..[emoji16][emoji16][emoji16]Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu.
Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu.
Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu pia na kujiona kuwa ndani yetu hatuna connection ya kusaidiwa direct na Mungu. Tukisha ona tumepata msaasa hautuishi kusema "MUNGU WA MADHABAHU HII" mara "MUNGU WA NABII xxxx" .
Is God letting all this happen kwa maana tunapenda shortcut?
Mkuu Mungu Yupo huyu wa kwenye biblia, maonyo yapo ya kutosha, watu wenyewe wamechagua kutokumwamini, yaani kutokuamini maonyo. Soma kitabu cha mathayo 24Mungu wa kwenye dini hayupo mkuu, na kamwe usifikirie utatokea moto utachoma haya makanisa wala misikiti,
kwasababu huyo Mungu wa kwenye bibilia na Quran hayupo asingeruhusu kuona uchafu na uovu unaoendelea kwenye makanisa wala misikiti, tutatapeliwa sana tukiendelea kushupaza shingo
Kwa hio Mungu wa Madhabau hii ndio inafanya wawe waongo... Vipi Kuhusu Mungu wa Abraham Isaka na Yakobo kwenye Bible au Mungu wa Israel??Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu.