the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Wakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke.
Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa njia aliyoionesha Rais Samia akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanamke gani mwingine tena anweza kushika kijiti hiko.
Soma Pia kwa taarifa zaidi zinazowahusu wanawake kipindi hichi cha uchaguzi: Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?
Nakumbuka mwaka 2015 walikuwepo akina Dk. Asha Rose Migiro ambao walijaribu bahati yao kwa upande wa CCM laikini pia alikuwepo Anna Mghirwa (Marehemu) kutokea ACT ingawa hawakufanikiwa. Je, kwa sasa nani mwingine anaweza ku fit kwa kijiti hiki baada ya Rais Samia?
Soma: Mjumbe wa UWT Hawa Ghasia: Wakina mama tunafanya zaidi ya wanaume. Baada ya Samia, aje tena Rais Mwanamke!