Pre GE2025 Je, ni mwanamke gani mwingine anafaa kuwa Rais baada ya kupata mwongozo kutoka kwa Rais Samia?

Pre GE2025 Je, ni mwanamke gani mwingine anafaa kuwa Rais baada ya kupata mwongozo kutoka kwa Rais Samia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani swali lake ni kwamba: ni; mwanamke gani mwingine mwenye uwezo kama wa Mama, ambaye hapa baadaye Watanzania wanaweza kufikiria kuja kumuweka awe Rais wa Nchi?
hayupo, and for the record hakuupata kwa uwezo ulimkuta by luck.
So if kutakuwepo mwenye uwezo natural okay until then jinsia haitakiwi kuwa kigezo
 
Acha wanaume wabaki vichwa sie tuwe mashina
 
hayupo, and for the record hakuupata kwa uwezo ulimkuta by luck.
So if kutakuwepo mwenye uwezo natural okay until then jinsia haitakiwi kuwa kigezo
Yaani wewe hapa unajadili kitu kingine kabisa tofauti na mada iliyopo hewani; na unapoeleweshwa ndiyo unazidi kupuyanga tu. Soma TENA KILE nilichokujibu KWENYE post yangu ILIYOPITA, na usipolkielewa tena tafadhali usisite KUNIULIZA swali
 
Wakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke.

Kwa njia aliyoionesha Rais Samia akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanamke gani mwingine tena anweza kushika kijiti hiko.

Pia soma:
Nakumbuka mwaka 2015 walikuwepo akina Dk. Asha Rose Migiro ambao walijaribu bahati yao kwa upande wa CCM laikini pia alikuwepo Anna Mghirwa (Marehemu) kutokea ACT ingawa hawakufanikiwa. Je, kwa sasa nani mwingine anaweza ku fit kwa kijiti hiki baada ya Rais Samia?

Soma: Mjumbe wa UWT Hawa Ghasia: Wakina mama tunafanya zaidi ya wanaume. Baada ya Samia, aje tena Rais Mwanamke!
 

Attachments

  • 5872400-0291b2ca9c7d3b297e2c695a9fc8f5a7.mp4
    4.5 MB
Mungu alishaweka misingi ya utawala, mwanaume ndiye kiongozi. Sasa kama familia tu baba ndie kichwa/kiongozi sembuse nchi?

CCM wana ushetani ndio maana wakaruhusu ujinga wa namna hii. Badala ya kukimbilia nuruni sisi tunatokomea gizani.
Mexico raisi ni mwanamke, vipi nako kuna CCM??
 
Urais Hauna JINSIA,

Ila mtu akaliaye KITI hicho ana yo JINSIA.
 
Mwachi,mwachi, mwachi 😔😔😔😔😔
😂😂😂 anafaa sana kwanza ni miss pila black beauty tatu mbabe 😂 nne ni rais wa mabunge yote duniani tano atakuwa rais wamarais duniani
 
Back
Top Bottom