Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mungu atuepushie mbali na hili balaa, isije ikatokea tena.Wakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke.
Kwa njia aliyoionesha Rais Samia akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanamke gani mwingine tena anweza kushika kijiti hiko.
Nakumbuka mwaka 2015 walikuwepo akina Dk. Asha Rose Migiro ambao walijaribu bahati yao kwa upande wa CCM laikini pia alikuwepo Anna Mghirwa (Marehemu) kutokea ACT ingawa hawakufanikiwa. Je, kwa sasa nani mwingine anaweza ku fit kwa kijiti hiki baada ya Rais Samia?
Tunachagua rais based on jinsia or based on uwezo wa mtu?Wakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke.
Kwa njia aliyoionesha Rais Samia akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanamke gani mwingine tena anweza kushika kijiti hiko.
Nakumbuka mwaka 2015 walikuwepo akina Dk. Asha Rose Migiro ambao walijaribu bahati yao kwa upande wa CCM laikini pia alikuwepo Anna Mghirwa (Marehemu) kutokea ACT ingawa hawakufanikiwa. Je, kwa sasa nani mwingine anaweza ku fit kwa kijiti hiki baada ya Rais Samia?
Soma: Mjumbe wa UWT Hawa Ghasia: Wakina mama tunafanya zaidi ya wanaume. Baada ya Samia, aje tena Rais Mwanamke!
UMMY MWALIMUWakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke.
Kwa njia aliyoionesha Rais Samia akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanamke gani mwingine tena anweza kushika kijiti hiko.
Nakumbuka mwaka 2015 walikuwepo akina Dk. Asha Rose Migiro ambao walijaribu bahati yao kwa upande wa CCM laikini pia alikuwepo Anna Mghirwa (Marehemu) kutokea ACT ingawa hawakufanikiwa. Je, kwa sasa nani mwingine anaweza ku fit kwa kijiti hiki baada ya Rais Samia?
Unafikiri wewe una akili kuliko CCM mkuu🤣Mungu alishaweka misingi ya utawala, mwanaume ndiye kiongozi. Sasa kama familia tu baba ndie kichwa/kiongozi sembuse nchi?
CCM wana ushetani ndio maana wakaruhusu ujinga wa namna hii. Badala ya kukimbilia nuruni sisi tunatokomea gizani.
Hata kuzidi ukoo wako.Unafikiri wewe una akili kuliko CCM mkuu🤣
Yaani swali lake ni kwamba: ni; mwanamke gani mwingine mwenye uwezo kama wa Mama, ambaye hapa baadaye Watanzania wanaweza kufikiria kuja kumuweka awe Rais wa Nchi?Tunachagua rais based on jinsia or based on uwezo wa mtu?

ndiyo mana nmeuliza mkuu ni mwanamke gani sasa mwingine ambaye anaweza kuwakilisha?Tunachagua rais based on jinsia or based on uwezo wa mtu?
Unasumbuliwa na stress mkuuHata kuzidi ukoo wako.
Yeah mkuu umeiweka poa sanaYaani swali lake ni kwamba: ni; mwanamke gani mwingine mwenye uwezo kama wa Mama, ambaye hapa baadaye Watanzania wanaweza kufikiria kuja kumuweka awe Rais wa Nchi?
Ubarikiwe.Yeah mkuu umeiweka poa sana
Kwanza hamna mwanamke mwingine. Rais ajaye achaguliwe kwa uwezo si jinsiandiyo mana nmeuliza mkuu ni mwanamke gani sasa mwingine ambaye anaweza kuwakilisha?
🤣🤣🤣😢Mungu atuepushie mbali na hili balaa, isije ikatokea tena.