ukisoma vizuri mwanzo, kuna stori mbili za uumbaji, kuna the first account(1:1-2:3) na the second(2:4-25), hii ya pili ndo inatumika sana kwenye mafundisho, inaelezea mwanamke alitoka ubavuni.
Hiyo ya kwanza haielezi sana, inasema tu me na ke waliumbwa na Mungu, kwa mfano wake(1:27). Sasa kuna maandiko ya kiyahudi yanasema Adam alikua na mke kabla ya Eve, waliumbwa sawa kutoka udongoni, Lilith alikataa kuwa chini yake, Mungu akambadilisha kua jini.
Makanisa ya saivi yanakataa hiyo nadharia, kuna visa vingi havijawekwa kwenye bibilia sasa sijui ni makusudi au la.
Aisee ndio kwanza namsikia leo huyu lilith. Mna maana gani kusema lilith alikuwa mke wa kwanza wa Adam wakati Kipindi anaumbwa hakukuwa na mwanadamu mwingine. Mpaka Hawa kutoka kwenye ubavu wa adamu..
Sio kweli kwamba wakati Adam anaumbwa hakukua na viumbe wengine Duniani, walikuwepo. Hilo liko wazi hata kwenye Biblia. Kasome Mwanzo 6 utaelewa kwamba walikuwepo viumbe wengine kabla ya Adam.
ukisoma vizuri mwanzo, kuna stori mbili za uumbaji, kuna the first account(1:1-2:3) na the second(2:4-25), hii ya pili ndo inatumika sana kwenye mafundisho, inaelezea mwanamke alitoka ubavuni.
Hiyo ya kwanza haielezi sana, inasema tu me na ke waliumwa na Mungu, kwa mfano wake(1:27). Sasa kuna maandiko ya kiyahudi yanasema Adam alikua na mke kabla ya Eve, waliumbwa sawa kutoka udongoni, Lilith alikataa kuwa chini yake, Mungu akambadilisha kua jini.
Makanisa za saivi yanakataa hiyo nadharia, kuna visa vingi havijawekwa kwenye bibilia sasa sijui ni makusudi au la.
ukisoma vizuri mwanzo, kuna stori mbili za uumbaji, kuna the first account(1:1-2:3) na the second(2:4-25), hii ya pili ndo inatumika sana kwenye mafundisho, inaelezea mwanamke alitoka ubavuni.
Hiyo ya kwanza haielezi sana, inasema tu me na ke waliumwa na Mungu, kwa mfano wake(1:27). Sasa kuna maandiko ya kiyahudi yanasema Adam alikua na mke kabla ya Eve, waliumbwa sawa kutoka udongoni, Lilith alikataa kuwa chini yake, Mungu akambadilisha kua jini.
Makanisa za saivi yanakataa hiyo nadharia, kuna visa vingi havijawekwa kwenye bibilia sasa sijui ni makusudi au la.
ukisoma vizuri mwanzo, kuna stori mbili za uumbaji, kuna the first account(1:1-2:3) na the second(2:4-25), hii ya pili ndo inatumika sana kwenye mafundisho, inaelezea mwanamke alitoka ubavuni.
Hiyo ya kwanza haielezi sana, inasema tu me na ke waliumbwa na Mungu, kwa mfano wake(1:27). Sasa kuna maandiko ya kiyahudi yanasema Adam alikua na mke kabla ya Eve, waliumbwa sawa kutoka udongoni, Lilith alikataa kuwa chini yake, Mungu akambadilisha kua jini.
Makanisa ya saivi yanakataa hiyo nadharia, kuna visa vingi havijawekwa kwenye bibilia sasa sijui ni makusudi au la.
Sio kweli kwamba wakati Adam anaumbwa hakukua na viumbe wengine Duniani, walikuwepo. Hilo liko wazi hata kwenye Biblia. Kasome Mwanzo 6 utaelewa kwamba walikuwepo viumbe wengine kabla ya Adam.
Sio kweli kwamba wakati Adam anaumbwa hakukua na viumbe wengine Duniani, walikuwepo. Hilo liko wazi hata kwenye Biblia. Kasome Mwanzo 6 utaelewa kwamba walikuwepo viumbe wengine kabla ya Adam.
Kwanza kabisa huyo Adam hakuumbwa na wala hakuwepo, hii ni hadithi kama allegory/fumbo.
Kujadili kama Adam alikuwepo ni sawa na kujadili kama Abunuwasi alikuwepo.
Professor James Kugel aliyefundisha masomo ya Biblia Harvard kaandika kitabu kizuri sana kinaitwa "How To Read The Bible : A Guide To Scripture Then and Now" , kaelezea vizuri sana.
In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the "quiet revolution" of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today's researchers differ from what people have always thought. The story of...
Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?
In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.
Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.
How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
ukisoma vizuri mwanzo, kuna stori mbili za uumbaji, kuna the first account(1:1-2:3) na the second(2:4-25), hii ya pili ndo inatumika sana kwenye mafundisho, inaelezea mwanamke alitoka ubavuni.
Hiyo ya kwanza haielezi sana, inasema tu me na ke waliumbwa na Mungu, kwa mfano wake(1:27). Sasa kuna maandiko ya kiyahudi yanasema Adam alikua na mke kabla ya Eve, waliumbwa sawa kutoka udongoni, Lilith alikataa kuwa chini yake, Mungu akambadilisha kua jini.
Makanisa ya saivi yanakataa hiyo nadharia, kuna visa vingi havijawekwa kwenye bibilia sasa sijui ni makusudi au la.
Sio kweli kwamba wakati Adam anaumbwa hakukua na viumbe wengine Duniani, walikuwepo. Hilo liko wazi hata kwenye Biblia. Kasome Mwanzo 6 utaelewa kwamba walikuwepo viumbe wengine kabla ya Adam.
ukisoma vizuri mwanzo, kuna stori mbili za uumbaji, kuna the first account(1:1-2:3) na the second(2:4-25), hii ya pili ndo inatumika sana kwenye mafundisho, inaelezea mwanamke alitoka ubavuni.
Hiyo ya kwanza haielezi sana, inasema tu me na ke waliumbwa na Mungu, kwa mfano wake(1:27). Sasa kuna maandiko ya kiyahudi yanasema Adam alikua na mke kabla ya Eve, waliumbwa sawa kutoka udongoni, Lilith alikataa kuwa chini yake, Mungu akambadilisha kua jini.
Makanisa ya saivi yanakataa hiyo nadharia, kuna visa vingi havijawekwa kwenye bibilia sasa sijui ni makusudi au la.
“Kwa mfano wa Mungu alimwumba mwanaume na mwanamke”.
Tunaona hapa tayari alimuumba mtu na neno mtu ni mjumuiko wa mwanaume na mwanamke.
Kisha tunaona, “Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai”……. Na ule ubavu alioutoa kwa Adam akaufanya mwanamke.”
Hapo stori mbili za uumbaji ni zipi mkuu, au unamaanisha huyo mtu wa kwanza tayari alikuwa na mwili bila ya kuwa na uhai wa pumzi, nifafanulie mkuu nami nielewe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.