Je, ni mwanamke yupi alikuwa mke wa kwanza wa Adam kati ya Eva ama Lilith?

Je, ni mwanamke yupi alikuwa mke wa kwanza wa Adam kati ya Eva ama Lilith?

Naomba kufahamu, kati ya Lilith na Eva ama Hawa ni nani alikua mke wa kwanza wa Adam.

Biblia inasema Eva ndio mke wa Adam pekee na kwamba ametoka kwenye ubavu wake lakini vitabu vya kiyahudi vinasema Lilith ndio alikua mke wa kwanza wa Adam kabla hawajagombana na Adam kuachana.

Kwa msingi huo, ukifuata mtiririko wa historia, vitabu vya kiyahudi vimeitangulia biblia hivyo vinnaweza kua na historia nzuri zaidi ya Adam kuliko Biblia.

Swali, kwa nini Lilith hazungumziwi kwenye Biblia kwamba alikua ndio mke wa kwanza wa Adam kabla ya Eva na badala yake Biblia inamzingumzia Eva peke yake?

Alafu kweli, nilikiwa nashangaa inakuaje Wakristo walipokea mapokeo ' mila, desturi na tamaduni za zamani ' kisha zikawekwa kwenye Biblia alafu ghafla tu wakakataza kuoa wanawake wawili ili hali mwanzo yote inaelezea Wafalme /Watu wengi walioa wanawake wawili na zaidi. Kumbe ni kuficha ukweli kwamba Adam alikuwa na mke mkubwa aitwale Lilith.
 
Vingine vikupite bana kwanza ata avina umuhimu sana ndo maana atujapewa kuvijua
 
Back
Top Bottom