GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwanasiasa A
Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka Haki dhidi yake itendeke na ikitendeka akitoka hajipendekezi bali anaendelea Kuuwasha Moto wake ule ule kwa Mamlaka?
Mwanasiasa B
Ambaye akikamatwa na Kukaa Jela miezi 6 tu mpaka 7 pamoja na kwamba Watu walimuamini, walimpenda kwa Uhodari wake ( pamoja na Kuteswa, Kunyanyaswa na Kuchafuliwa Kwake ) akishurutishwa Kuomba Msamaha ili aachiwe anakubali na anafanya hivyo kupitia Viongozi wa Dini na akiachiwa tu haraka sana anakurupuka kwenda kwa Mamlaka Kujikomba kisha anawatia Moyo Kinafiki kuwa Mapambano yanaendelea?
Majibu yenu ni Muhimu sana Kwangu!!!!