Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Huwa wanaimba mandhari ya nyimbo Gani!?
- Nyimbo za mahusioano, Mapenzi na Hisia Zake (muktadha tofauti).
Mandhari kuu inayowashirikisha wote wawili ni mapenzi katika sura zake nyingi, ingawa kila mmoja ana mtazamo tofauti kuhusu mada hii ya kipekee.

Celine Dion mara nyingi huimba kuhusu upendo wenye nguvu, wa kudumu, na unaoleta mabadiliko. Nyimbo kama "My Heart Will Go On" huonyesha upendo unaovuka mipaka ya wakati na mazingira, huku nyimbo kama "Because You Loved Me" na "The Power of Love" zikionyesha jinsi upendo unavyoweza kuleta nguvu na kuhamasisha.

Kwa upande wa Whitney Houston, upendo katika nyimbo zake unaangazia udhaifu, kuvunjika kwa moyo, na changamoto za uhusiano. Nyimbo kama "I Will Always Love You" na "I'm Every Woman" huonyesha nguvu na udhaifu uliomo katika upendo, zikisisitiza hisia za kweli na kina cha mapenzi.
Celine Dion
  • "My Heart Will Go On"

View: https://www.youtube.com/watch?v=WNIPqafd4As
  • "Because You Loved Me"

View: https://www.youtube.com/watch?v=gMOovDrWWiI

  • The Power of Love"

View: https://www.youtube.com/watch?v=Q5bX5K76Hag

=
Whitney Houston
 
Whitney Houston alikuwa na sauti wataalamu wa muziki wanaita mezzo-soprano, wasanii wenye hio sauti ni kama Adele, Christina Aguilera na wengine wengi...
Whitney vocal range alikuwa na octaves tatu kutoka A2 hadi G#5 hadi C#6 (A6).....
Whitney alikuwa anatoa sauti kutoka G chini ya C hadi kwenye B flat, alikuwa anapita katika octaves tofauti ,alikuwa ana uwezo kuanza kuimba chini kabisa kwa sauti laini na nyororo hadi noti za juu za sauti kwa usahihi mkubwa na ubora...

Alikuwa na kipaji si mchezo..
 
Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali.

Unachotakiwa kufanya:
- Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja.

Video: Whitney Houston - I Look to You

View: https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8

Hana mpinzani. Kwa upande wa wanaume nadhani Wanya Morris wa Boyz II Men ni balaa zaidi.
 
Back
Top Bottom