Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Leona lewis - first time ever I saw your face (Cover)
View: https://m.youtube.com/watch?v=5-y4NntI-t0
View: https://m.youtube.com/watch?v=5-y4NntI-t0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji kutengeneza Playlist maalum, kwa waimbaji maalum, kwa maktaba yangu ya nyimbo.Mshindi anapata nini au wewe unapata faida gani?
Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali.
Unachotakiwa kufanya:
- Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja.
Video: Whitney Houston - I Look to You
View: https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
Umelazimishwa kuandika😂😂😂😅😅Mshindi anapata nini au wewe unapata faida gani?
Nilitaka kumtaja pia
*hips don't lie
*Beautiful liar
Ahsante sana.Whitney Houston alikuwa na sauti wataalamu wa muziki wanaita mezzo-soprano, wasanii wenye hio sauti ni kama Adele, Christina Aguilera na wengine wengi...
Whitney vocal range alikuwa na octaves tatu kutoka A2 hadi G#5 hadi C#6 (A6).....
Wala usisumbuke, ingia youtube zimejaa.Wao!, itabidi nikupe kazi ya kunitengenezea playlist ya aina hii ya mziki.
NAsikiliza wimbo huu | Aretha Franklin - A Rose Is Still a RoseThere was Aretha Franklin and then some.........
Ukiambiwa chagua wimbo mmoja tu, Ni upi kati ya hizi ndio chaguo lako?Nimemkumbuka pia mwanadada MILEY CYRUS
Some songs
*WRECKING BALL
*WE CAN'T STOP
*SEE YOU AGAIN
*DON'T CALL ME ANGEL
*DON'T DREAM IT'S OVER
*Edge of midnight
*ADORE YOU
*WHO OWN MY HEART
Wrecking ball ikifuatiwa na we can't stop.Ukiambiwa chagua wimbo mmoja tu, Ni upi kati ya hizi ndio chaguo lako?