and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Mfuatilie na Lata Mangeshkar, ni marehemu pia anatokea India, alizaliwa 1929 amefariki 2022, huyo ndiye alikuwa sauti ya bollywood... na uzee aliokuwa nao lakini sauti alikuwa akiimba usingejua anaimba mwanamke mzee... ameimba bollywood kuanzia usichana wake hadi uzee..Nahitaji kutengeneza Playlist maalum, kwa waimbaji maalum, kwa maktaba yangu ya nyimbo.
- Mfano huyu mwimbaji "Leona lewis" ametajwa na Chief-Mkwawa hapo juu. Ana sifa zote za kupambanishwa na Whitney, kwa wimbo huu niliosikiliza first time ever I saw your face, Na asingemtaja basi nisingeweza kupata wimbo wake na kuweka kwenye playlist yangu.
Bufa karibu
Huyo na ndugu yake ndio walikuwa sauti za bollywood.
Kama ulisikia movie nyingi za bollywood hio sauti ndio huyo Lata Mangeshkar.
View: https://www.youtube.com/watch?v=tqHm_IbdTO4
Hio nyimbo iliitwa Hamko Humisa Chura Lo kwenye filamu ya kihindi iliitwa mohabbatein ilitoka 2000 akicheza Shah Rukh Khan, sasa hapo alikuwa anafanya live perfomance.
Wengi kipindi hiko tunatizama movie kiukweli hata mimi nilijua anayeimba ni yule msichana aliyekuwa na Shah Rukh Khan..
Original Vesrion
View: https://www.youtube.com/watch?v=zWPsjhBaRb0
Huyu chini ni ndugu yake, Asha Bhosle... sijajua kipindi wanarekodi ilikuwa ni mwaka gani lakini ilikuwa 2000s, alikuwa mzee, huyu kazaliwa 1933... ukisikia hio sauti utajua ni binti wa miaka 20.
View: https://www.youtube.com/watch?v=Ob8rBaUT0Yk
original version.
View: https://www.youtube.com/watch?v=EGExS_0qQq0
hio nyimbo ipo kwenye filamu ya kihindi ikiitwa chura liya hai tumne, ilitoka 2003...