Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Huwa wanaimba mandhari ya nyimbo Gani!?
- Nyimbo za mahusioano, Mapenzi na Hisia Zake (muktadha tofauti).
Celine Dion
  • "My Heart Will Go On"

View: https://www.youtube.com/watch?v=WNIPqafd4As
  • "Because You Loved Me"

View: https://www.youtube.com/watch?v=gMOovDrWWiI
  • The Power of Love"

View: https://www.youtube.com/watch?v=Q5bX5K76Hag
=
Whitney Houston
 
Whitney Houston alikuwa na sauti wataalamu wa muziki wanaita mezzo-soprano, wasanii wenye hio sauti ni kama Adele, Christina Aguilera na wengine wengi...
Whitney vocal range alikuwa na octaves tatu kutoka A2 hadi G#5 hadi C#6 (A6).....
Whitney alikuwa anatoa sauti kutoka G chini ya C hadi kwenye B flat, alikuwa anapita katika octaves tofauti ,alikuwa ana uwezo kuanza kuimba chini kabisa kwa sauti laini na nyororo hadi noti za juu za sauti kwa usahihi mkubwa na ubora...

Alikuwa na kipaji si mchezo..
 
Hana mpinzani. Kwa upande wa wanaume nadhani Wanya Morris wa Boyz II Men ni balaa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…