Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Mshindi anapata nini au wewe unapata faida gani?
Nahitaji kutengeneza Playlist maalum, kwa waimbaji maalum, kwa maktaba yangu ya nyimbo.

- Mfano huyu mwimbaji "Leona lewis" ametajwa na Chief-Mkwawa hapo juu. Ana sifa zote za kupambanishwa na Whitney, kwa wimbo huu niliosikiliza first time ever I saw your face, Na asingemtaja basi nisingeweza kupata wimbo wake na kuweka kwenye playlist yangu.

Bufa karibu
 
Whitney Houston alikuwa na sauti wataalamu wa muziki wanaita mezzo-soprano, wasanii wenye hio sauti ni kama Adele, Christina Aguilera na wengine wengi...
Whitney vocal range alikuwa na octaves tatu kutoka A2 hadi G#5 hadi C#6 (A6).....
Ahsante sana.
- Waweza taja wimbo mmoja kwa kila msanii.
 
ingia youtube zimejaa.
Ni kweli Youtube na platform zingine zipo playlist.

Ila kuna utofauti kubwa sana kati ya playlist yako ya nyimbo zako uzipendazo na zile za wengine wazipendazo.
 
Nimemkumbuka pia mwanadada MILEY CYRUS
Some songs

*WRECKING BALL
*WE CAN'T STOP
*SEE YOU AGAIN
*DON'T CALL ME ANGEL
*DON'T DREAM IT'S OVER
*Edge of midnight
*ADORE YOU
*WHO OWN MY HEART
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…