Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Mfuatilie na Lata Mangeshkar, ni marehemu pia anatokea India, alizaliwa 1929 amefariki 2022, huyo ndiye alikuwa sauti ya bollywood... na uzee aliokuwa nao lakini sauti alikuwa akiimba usingejua anaimba mwanamke mzee... ameimba bollywood kuanzia usichana wake hadi uzee..

Huyo na ndugu yake ndio walikuwa sauti za bollywood.
Kama ulisikia movie nyingi za bollywood hio sauti ndio huyo Lata Mangeshkar.



View: https://www.youtube.com/watch?v=tqHm_IbdTO4
Hio nyimbo iliitwa Hamko Humisa Chura Lo kwenye filamu ya kihindi iliitwa mohabbatein ilitoka 2000 akicheza Shah Rukh Khan, sasa hapo alikuwa anafanya live perfomance.

Wengi kipindi hiko tunatizama movie kiukweli hata mimi nilijua anayeimba ni yule msichana aliyekuwa na Shah Rukh Khan..

Original Vesrion

View: https://www.youtube.com/watch?v=zWPsjhBaRb0
Huyu chini ni ndugu yake, Asha Bhosle... sijajua kipindi wanarekodi ilikuwa ni mwaka gani lakini ilikuwa 2000s, alikuwa mzee, huyu kazaliwa 1933... ukisikia hio sauti utajua ni binti wa miaka 20.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Ob8rBaUT0Yk
original version.

View: https://www.youtube.com/watch?v=EGExS_0qQq0hio nyimbo ipo kwenye filamu ya kihindi ikiitwa chura liya hai tumne, ilitoka 2003...
 
Sijui wimbo wa Wanya Morris akiwa peke yake
Uko sahihi, hakuna Wanya Morris bila ya uwepo wa Boys II Men.
- Je unauzungumziaje wimbo huu: "On Bended Knee"

Your browser is not able to display this video.
 
Dory parton
Alan walker
Keri hilson
Brandy
Halsey
Selena gomez
Umetaja waimbaji sita,

Je ukipewa adhabu ya kusikiliza mwimbaji mmoja tu utachagua yupi? na Wimbo upi utausikiliza mara nyingi zaidi?
 
Huyu Dada alibarikiwa sauti aiseee...(Rip Whitney)
... na uwezo wa kupanda na kushuka katika wimbo, mfano "I Will Always Love You."
Your browser is not able to display this video.

 
Huyu chini ni ndugu yake, Asha Bhosle... sijajua kipindi wanarekodi ilikuwa ni mwaka gani lakini ilikuwa 2000s, alikuwa mzee, huyu kazaliwa 1933... ukisikia hio sauti utajua ni binti wa miaka 20.
Nimesikiliza hizi nyimbo, Hakika sauti yake ni ya kipekee ukilinganisha na umri wake( wakati huoa akiimba). Amefariki akiwa na miaka 92.
Lata Mangeshkar, the legendary Indian playback singer, passed away on February 6, 2022, at the age of 92.
 
Minie Tipton ndio Legend wao alikua anaimba 5 octave range,
Yule mwanamama alikua balaa nadhani hata Whitney ndie aliyekua Role Model wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…