Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Hapa kama nazisikia sauti ya Manju wa Muziki Masoud Masoud. Hizo terminologies huwa anapenda sana kuzitumia anapozungumzia uwezo wa kuimba wa msanii Whitney au Mariah Carey.
 
Mariah Carey ndiye kwa kiasi kikubwa amefanana na Whitney Houston kwa uwezo wa kucheza na sauti na miondoko ya Miziki yao,.

Kumbuka ile miondoko ya kama disco Fulani hivi 'i wanna dance with somebody" na "Anytime you need a friend"mpaka enzi za "I will always love you" na "hero". Baadaye zile slow kama RNB Fulani hivi "heartbreak hotel" na "we belong together" unaona kabisa ni wanamuziki wawili waliofanana kwa kiasi kikubwa.
 
na "we belong together" unaona kabisa ni wanamuziki wawili waliofanana kwa kiasi kikubwa.
Hakika, M. Carey naye ni moto.
Your browser is not able to display this video.

(Ndio wimbo natazama muda huu)
 
Maria Carey wimbo wake wa Hero
Huu naona anamfunika
Ila Whitney alikuwa na pumzi acha kabisa
Mpaka Dolly Parton alimyanyulia mikono kwa wimbo aliompa wa I will always love you 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…