Je, ni mwisho wa wabunge wasio na vyama bungeni?

Je, ni mwisho wa wabunge wasio na vyama bungeni?

Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao?

Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
Huo ni mkakati wa CCM wawepo bungeni ili kuonedha dunia kuwa nchi ni ya Kidemocrasia wale hawawez kutolewa
 
Back
Top Bottom