Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

Kaja kukamilisha mpango wake na rafiki yake BT
 
Sasa unaponitaka nisiongelee Russia, wewe ni nani kwangu?
Nimekwambia usiongelee? Si mawazo yako unayotaka kutushawishi, mimi nimekataa na wauaji wako. Kati ya USA na Russia yupi aliyetengwa zaidi na jumuia ya kimataifa?

Kama hutaki tuyakatae mawazo yako usiyalete jukwaani baki nayo
 
Well analysed and presented congratulations 🎊
 
Alikuja kuingia Mkataba wa Raia wake wenye Akili Kubwa Afrika Mashariki waweze Kuwaambukiza Raia Goigoi ( Mazuzu ) Vichwani wa Mwenyeji wake.
Raia gani wa Rwanda ana akili kubwa?.Akili za kuuana na kubaguana kwa ukubwa wa pua?

Nawadharau sana watu wanaotaka kulinganisha Rwanda na Tanzania. Ni upuuzi labda walinganishe na mikoa ya lake zone (Mwanza, Geita, Mara na Bukoba)
 
Nimekwambia usiongelee? Si mawazo yako unayotaka kutushawishi, mimi nimekataa na wauaji wako. Kati ya USA na Russia yupi aliyetengwa zaidi na jumuia ya kimataifa?

Kama hutaki tuyakatae mawazo yako usiyalete jukwaani baki nayo
USA na Russia zimetokea wapi kwenye thread hii? Mzee stress zako usizilete hapa.
 
Rwanda is overated
 
Thread closed
 
Jana kwenye afla ya chakula cha Rais kwa mgeni wake sikumuona JK miongoni mwa wastaafu.
Jk alimshikisha kagame adabu akawa mdogo ka piritoni Kuna kipindi alinyanyua mabega, JK akaleta operation kimbunga ilikuwa kilio huko Kanda ya ziwa kumbe nchi hii Ina wahamiaji haramu wengi, ikabidi kagame aombe msamaha yaishe tangu siku hyo akaacha chokochoko
 
USA na Russia zimetokea wapi kwenye thread hii? Mzee stress zako usizilete hapa.
Hajakuelewa kwenye suala la Tanzania kuwa mwenyekiti wa Majeshi Ya Ulinzi na Usalama Duniani, amepokea nafasi hiyo Toka kwa nani (nchi gani)?
Fafanua wengi waelewe, yeye alisoma juu juu akadhani umeweka hisia na mapenzi yako juu ya ushabiki wa mambo ya Pro-west Vs Pro-Russia mambo ya Ukraine na nani bora.
 
Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyekiti wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani. Mwakani mkutano wa majeshi yote duniani utafanyika hapa Tanzania. Tanzania imekabidhiwa na Russia juzi juzi wiki hii huko Moscow.
Mkuu hapa ndipo cencer09 hajakuelewa anadhani umebuni hii habari au umeiweka sababu ya mahaba yako juu ya Russia wakati yeye ana chuki nayo au ana mahaba na USA.
 
Kwa aliye mzima kumpa ugonjwa wa kipuuzi ni sawa?
Hoja yako ni ya kipuuzi kama ukiambiwa unakasirika jukwaa halikufai
Haya basi umeeleweka kuwa hii hoja hujaielewa. Asante kwa kushiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…