Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu.

Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu nimewaza mambo kadha wa kadha.

1. Tayari huko Congo ya mashariki vurugu inaendelea. Na sote tunajua yule anayeleta vurugu hizo ni ndugu yetu huyu na wenzake wakisaidiwa na wafanya biashara mbalimbali wa madini duniani. Huku USA akiwa behind the scene.

Juzi juzi makamu wa rais wa Marekani alikuja hapa Tanzania. Na katika mambo mengi yaliyozungumzwa huenda na hili suala la amani katika eneo la kaskazini mwa congo. Maana Tanzania inapokea wakimbizi wengi sana na kushindwa kufanya mipango yake ya maendeleo.

2. Tayari Burundi, Uganda na DRC zimekubali kufanya biashara na Tanzania. Huku yeye akiwa na matakwa yake. Na ukiangalia mbele ya safari madini ya huko Congo na Burundi yatasafirishwa kupitia SGR ya Tanzania. Sasa hapa tunaongelea National Interest. Ukiyagusa maslah ya Tanzania maana yake umeingilia ulinzi na usalama wa Tanzania.

3. Tunapoelekea anaona kabisa anatengwa, Maana USA sasa hivi naye anapigana for her survival. Hizi operation zinazoendelea huko Ukraine zimewafumbua wengi. Kwahiyo wengi sasa wanaanzisha umoja wao na kuanza kujiweka mbali na USA. Huku wengi wakiwa karibu na China. Yeye hana mahusiano mazuri na China huku TZ tukiwa washirika wa karibu sana na China.

4. Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyekiti wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani. Mwakani mkutano wa majeshi yote duniani utafanyika hapa Tanzania. Tanzania imekabidhiwa na Russia juzi juzi wiki hii huko Moscow. Kuwa mbali na Tanzania ni kujitenga na ulinzi wa kidunia.

5. Tanzania imeandaa mpango kabambe wa kumaliza na kutokomeza makundi yanayopigana na serikali huko DRC. Mpango wa Tanzania utaweza kumfanya yeye apotee kabisa kwenye ramani, kama alivyopotea Idd Amini Dadaa.

Karibu tuchangie. Hayo ni mawazo yangi binafsi kama raia mwema.
Huyo mtu ni 'kirusi' hatari kwenye eneo hili.
Inatakiwa kushughulika naye kwa umakini mkubwa sana, vinginevyo ataleta tafrani kwenye eneo lote.

Huyo na jirani yetu wa kaskazini, ambao sasa wameshirikiana kuikingia kifua M23, siyo watu wa kuwaamini kwa lolote.
 
JK tena?
Si alimdunda kule Goma!
Hiyo habari ya "kudundwa" inamnyima raha sana huyu Bwana 'Fito'., kwa sababu yeye anajifanya ni mwamba sana katika eneo hili, kumbe umwamba wenyewe ni wa kudandia tu kwa watoa hisani wanaompa msaada. Yeye kama yeye hana lolote.

Na hapo ndipo palipoanzia makosa kwa jumuia ya kimataifa, kuwaacha hao waliodundwa kwenda kujikusanya tena na kujimarisha huko walikokimbilia. Matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona, wamerudi wamejipanga zaidi kwa msaada wanaopewa na hao waliowahifadhi baada ya kudundwa.
 
Huyo mtu ni 'kirusi' hatari kwenye eneo hili.
Inatakiwa kushughulika naye kwa umakini mkubwa sana, vinginevyo ataleta tafrani kwenye eneo lote.

Huyo na jirani yetu wa kaskazini, ambao sasa wameshirikiana kuikingia kifua M23, siyo watu wa kuwaamini kwa lolote.
Yap. Hiyo issue M23 wanashirikiana ili kuinyonya DRC.
 
Mbona kwa maelezo yako kama tumetwishwa majukumu makubwa, wakati hata vitu vidogo vidogo kama panya road, tunachemka
 
Mama yupo smart sana. Hongereni kamati za ulinzi na usalama kwa kutanguliza maslahi ya nchi mbele. Mama shikilia hapohapo. Kagame anyooshwe. Ajue yeye sio baba lao. Kuna chui jike Tanzania ndo linatawala!!!
 
Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu.

Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu nimewaza mambo kadha wa kadha.

1. Tayari huko Congo ya mashariki vurugu inaendelea. Na sote tunajua yule anayeleta vurugu hizo ni ndugu yetu huyu na wenzake wakisaidiwa na wafanya biashara mbalimbali wa madini duniani. Huku USA akiwa behind the scene.

Juzi juzi makamu wa rais wa Marekani alikuja hapa Tanzania. Na katika mambo mengi yaliyozungumzwa huenda na hili suala la amani katika eneo la kaskazini mwa congo. Maana Tanzania inapokea wakimbizi wengi sana na kushindwa kufanya mipango yake ya maendeleo.

2. Tayari Burundi, Uganda na DRC zimekubali kufanya biashara na Tanzania. Huku yeye akiwa na matakwa yake. Na ukiangalia mbele ya safari madini ya huko Congo na Burundi yatasafirishwa kupitia SGR ya Tanzania. Sasa hapa tunaongelea National Interest. Ukiyagusa maslah ya Tanzania maana yake umeingilia ulinzi na usalama wa Tanzania.

3. Tunapoelekea anaona kabisa anatengwa, Maana USA sasa hivi naye anapigana for her survival. Hizi operation zinazoendelea huko Ukraine zimewafumbua wengi. Kwahiyo wengi sasa wanaanzisha umoja wao na kuanza kujiweka mbali na USA. Huku wengi wakiwa karibu na China. Yeye hana mahusiano mazuri na China huku TZ tukiwa washirika wa karibu sana na China.

4. Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyekiti wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani. Mwakani mkutano wa majeshi yote duniani utafanyika hapa Tanzania. Tanzania imekabidhiwa na Russia juzi juzi wiki hii huko Moscow. Kuwa mbali na Tanzania ni kujitenga na ulinzi wa kidunia.

5. Tanzania imeandaa mpango kabambe wa kumaliza na kutokomeza makundi yanayopigana na serikali huko DRC. Mpango wa Tanzania utaweza kumfanya yeye apotee kabisa kwenye ramani, kama alivyopotea Idd Amini Dadaa.

Karibu tuchangie. Hayo ni mawazo yangi binafsi kama raia mwema.
Eti kumshukuru Rais Samia kumpatanisha na Rais wa Kongo!!! Maajabu ya dunia

Kagame anayedai sehemu ya Kivu na Bukavu ni eneo lililokuwa linakaliwa na Wanyarwanda hata kabla ya wakoloni na kwamba wakoloni ndio walifanya kosa wakati a ugawaji wa nchi eneo lilimegwa kwenda Kongo ndio Wanyarwanda walioko huko wanataka Kivu iwe nchi yao!!!

Kihistoria enzi za Mjerumani Rwanda na Burundi ilikuwa sehemu ya nchi ya Tanganyika
 
Hayo yote sio kweli ila tu ni mawazo yako kama ulivosema,japo naona yamejaa chuki na ubinafsi na uelewa mdogo juu ya historia ya nchi ndogo ya Rwanda,huyo jamaa ameitoa nchi pabaya na bado hamuoni?yote anayofanya ni ya kawaida kwa watawala wote duniani ila anaonekana yeye kwakuwa wengi mna mawazo kuwa Ile ni nchi ndogo isiyofaa kuwa hapo ilipo,but trust me huyu jamaa mwamba Sana,mpaka mnamfanya topic,jua ni tishio,suala la ukabila halipo Tena kwa kiwango hicho amepambana kuliondoa na kuweka maridhiano kwa wanyarwanda wote,kama huna uelewa na international affairs ndo utaongea hayo,but ni kawaida,hakuna Utawala Duniani usio na makando ila kwakuwa yeye kaonekana kuwa very clever, brilliant Sana na kuimarisha nchi yake,ndo anaonekana yeye,NAMKUBALI SANA HUYO MWAMBA
 
Hata kama ingekuwa hivyo anavyotaka, mbona lile kundi jingine linalompinga ambao wako huko huko DRC hahusiki nao, ila hawa tu M23?
 
Mama yupo smart sana. Hongereni kamati za ulinzi na usalama kwa kutanguliza maslahi ya nchi mbele. Mama shikilia hapohapo. Kagame anyooshwe. Ajue yeye sio baba lao. Kuna chui jike Tanzania ndo linatawala!!!
Mmmh watanzania bwana,kwana wana ugomvi?? Mnapenda kuendekeza chuki za kijinga Sana,wanasiasa hao waache wauchezeshe mchezo wa siasa
 
Hayo yote sio kweli ila tu ni mawazo yako kama ulivosema,japo naona yamejaa chuki na ubinafsi na uelewa mdogo juu ya historia ya nchi ndogo ya Rwanda,huyo jamaa ameitoa nchi pabaya na bado hamuoni?yote anayofanya ni ya kawaida kwa watawala wote duniani ila anaonekana yeye kwakuwa wengi mna mawazo kuwa Ile ni nchi ndogo isiyofaa kuwa hapo ilipo,but trust me huyu jamaa mwamba Sana,mpaka mnamfanya topic,jua ni tishio,suala la ukabila halipo Tena kwa kiwango hicho amepambana kuliondoa na kuweka maridhiano kwa wanyarwanda wote,kama huna uelewa na international affairs ndo utaongea hayo,but ni kawaida,hakuna Utawala Duniani usio na makando ila kwakuwa yeye kaonekana kuwa very clever, brilliant Sana na kuimarisha nchi yake,ndo anaonekana yeye,NAMKUBALI SANA HUYO MWAMBA
Safari hii "Mwamba" wako hana pa kutokea.

Hata 'sponsors' wake wamegundua u'snitch' alio nao.

Bila 'sponsors' hana kitu.

He is being reduced to his rightful size.
 
Huyo mtu ni 'kirusi' hatari kwenye eneo hili.
Inatakiwa kushughulika naye kwa umakini mkubwa sana, vinginevyo ataleta tafrani kwenye eneo lote.

Huyo na jirani yetu wa kaskazini, ambao sasa wameshirikiana kuikingia kifua M23, siyo watu wa kuwaamini kwa lolote.
Acheni chuki za kijinga,unayoongea yamejaa chuki ubinafsi na hayana uchunguzi wowote Ili kuaminiwa,so acha uongo,this is an international affairs issue na ni ziara ya kawaida
 
Mmmh watanzania bwana,kwana wana ugomvi?? Mnapenda kuendekeza chuki za kijinga Sana,wanasiasa hao waache wauchezeshe mchezo wa siasa
Mchezo ndo huo umechezwa.. Tanzania inakaribia kutuma jeshi huko Congo. Anakuja kupiga magoti
 
Safari hii "Mwamba" wako hana pa kutokea.

He is being cut to his rightful size.
Ni mawazo yako pia,but he has put the country at a better level kuwa admired na wengi so sishangai,af ikitokea hvo unavomuombea utafaidika nin?
 
Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu.

Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu nimewaza mambo kadha wa kadha.

1. Tayari huko Congo ya mashariki vurugu inaendelea. Na sote tunajua yule anayeleta vurugu hizo ni ndugu yetu huyu na wenzake wakisaidiwa na wafanya biashara mbalimbali wa madini duniani. Huku USA akiwa behind the scene.

Juzi juzi makamu wa rais wa Marekani alikuja hapa Tanzania. Na katika mambo mengi yaliyozungumzwa huenda na hili suala la amani katika eneo la kaskazini mwa congo. Maana Tanzania inapokea wakimbizi wengi sana na kushindwa kufanya mipango yake ya maendeleo.

2. Tayari Burundi, Uganda na DRC zimekubali kufanya biashara na Tanzania. Huku yeye akiwa na matakwa yake. Na ukiangalia mbele ya safari madini ya huko Congo na Burundi yatasafirishwa kupitia SGR ya Tanzania. Sasa hapa tunaongelea National Interest. Ukiyagusa maslah ya Tanzania maana yake umeingilia ulinzi na usalama wa Tanzania.

3. Tunapoelekea anaona kabisa anatengwa, Maana USA sasa hivi naye anapigana for her survival. Hizi operation zinazoendelea huko Ukraine zimewafumbua wengi. Kwahiyo wengi sasa wanaanzisha umoja wao na kuanza kujiweka mbali na USA. Huku wengi wakiwa karibu na China. Yeye hana mahusiano mazuri na China huku TZ tukiwa washirika wa karibu sana na China.

4. Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyekiti wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani. Mwakani mkutano wa majeshi yote duniani utafanyika hapa Tanzania. Tanzania imekabidhiwa na Russia juzi juzi wiki hii huko Moscow. Kuwa mbali na Tanzania ni kujitenga na ulinzi wa kidunia.

5. Tanzania imeandaa mpango kabambe wa kumaliza na kutokomeza makundi yanayopigana na serikali huko DRC. Mpango wa Tanzania utaweza kumfanya yeye apotee kabisa kwenye ramani, kama alivyopotea Idd Amini Dadaa.

Karibu tuchangie. Hayo ni mawazo yangi binafsi kama raia mwema.
Kwa jinsi navyo mjua hawezi poteza muda wake kuja tz kuna kitu .
 
Back
Top Bottom