kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Anajua ili maslahi yake yafanikiwe ni sharti awe na ukaribu na Tanzania Haina namna nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee hapa unataja majina majina ya watoto wa PAKA. Tueleze sababu yake ya kutaka kuilupua DarHahaha,skia sasa,nikilijua Hilo litafaa nin? Haya wa Samia au Ruto au Museveni wamesomea wapi? What's the important point in that? Mimi nafahamu mpaka Ian Kagame ni mkuu wa kitengo Cha ulinzi wa Baba yake,yupo Ange na Brian,ila hyo sio point kwa sasa,stop HATE SPEECHES
That's all your wishes kwake ila tangu amekuwa madarakani it's about 23 years now,amekutana na hayo mara kibao Tena makubwa,ameyahimili kwakuwa anawapambania wananchi wake,muache I bwanaSafari hii "Mwamba" wako hana pa kutokea.
Hata 'sponsors' wake wamegundua u'snitch' alio nao.
Bila 'sponsors' hana kitu.
He is being reduced to his rightful size.
Hahaha you're going too far ndugu,mbali Sana Huko,mnavopenda vita wenzenu wameziishi so msiwe hvo,acheni nchi zipeane ushirikianoMzee hapa unataja majina majina ya watoto wa PAKA. Tueleze sababu yake ya kutaka kuilupua Dar
Vita gani PAKA kapigana?Hahaha you're going too far ndugu,mbali Sana Huko,mnavopenda vita wenzenu wameziishi so msiwe hvo,acheni nchi zipeane ushirikiano
Huyo mtu ana roho mbaya kama wengi kwenye mbari yao ya kitutsi. Nasema wengi kwani kuna watutsi nawajua watu waungwana kabisa.Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu.
Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu nimewaza mambo kadha wa kadha.
1. Tayari huko Congo ya mashariki vurugu inaendelea. Na sote tunajua yule anayeleta vurugu hizo ni ndugu yetu huyu na wenzake wakisaidiwa na wafanya biashara mbalimbali wa madini duniani. Huku USA akiwa behind the scene.
Juzi juzi makamu wa rais wa Marekani alikuja hapa Tanzania. Na katika mambo mengi yaliyozungumzwa huenda na hili suala la amani katika eneo la kaskazini mwa congo. Maana Tanzania inapokea wakimbizi wengi sana na kushindwa kufanya mipango yake ya maendeleo.
2. Tayari Burundi, Uganda na DRC zimekubali kufanya biashara na Tanzania. Huku yeye akiwa na matakwa yake. Na ukiangalia mbele ya safari madini ya huko Congo na Burundi yatasafirishwa kupitia SGR ya Tanzania. Sasa hapa tunaongelea National Interest. Ukiyagusa maslah ya Tanzania maana yake umeingilia ulinzi na usalama wa Tanzania.
3. Tunapoelekea anaona kabisa anatengwa, Maana USA sasa hivi naye anapigana for her survival. Hizi operation zinazoendelea huko Ukraine zimewafumbua wengi. Kwahiyo wengi sasa wanaanzisha umoja wao na kuanza kujiweka mbali na USA. Huku wengi wakiwa karibu na China. Yeye hana mahusiano mazuri na China huku TZ tukiwa washirika wa karibu sana na China.
4. Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyekiti wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani. Mwakani mkutano wa majeshi yote duniani utafanyika hapa Tanzania. Tanzania imekabidhiwa na Russia juzi juzi wiki hii huko Moscow. Kuwa mbali na Tanzania ni kujitenga na ulinzi wa kidunia.
5. Tanzania imeandaa mpango kabambe wa kumaliza na kutokomeza makundi yanayopigana na serikali huko DRC. Mpango wa Tanzania utaweza kumfanya yeye apotee kabisa kwenye ramani, kama alivyopotea Idd Amini Dadaa.
Karibu tuchangie. Hayo ni mawazo yangi binafsi kama raia mwema.
Eti kumshukuru Rais Samia kumpatanisha na Rais wa Kongo!!! Maajabu ya dunia
Kagame anayedai sehemu ya Kivu na Bukavu ni eneo lililokuwa linakaliwa na Wanyarwanda hata kabla ya wakoloni na kwamba wakoloni ndio walifanya kosa wakati a ugawaji wa nchi eneo lilimegwa kwenda Kongo ndio Wanyarwanda walioko huko wanataka Kivu iwe nchi yao!!!
Kihistoria enzi za Mjerumani Rwanda na Burundi ilikuwa sehemu ya nchi ya Tanganyi
Anaongoza nchi ndogo Sana isiyo na maliasili yoyote ila anaipambania,mwacheni a seeHiyo habari ya "kudundwa" inamnyima raha sana huyu Bwana 'Fito'., kwa sababu yeye anajifanya ni mwamba sana katika eneo hili, kumbe umwamba wenyewe ni wa kudandia tu kwa watoa hisani wanaompa msaada. Yeye kama yeye hana lolote.
Na hapo ndipo palipoanzia makosa kwa jumuia ya kimataifa, kuwaacha hao waliodundwa kwenda kujikusanya tena na kujimarisha huko walikokimbilia. Matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona, wamerudi wamejipanga zaidi kwa msaada wanaopewa na hao waliowahifadhi baada ya kudundwa.
Mkuu Mimi Kwa Mtazamo wangu. Huyu Terminator Pk anatafutwa uungwaji wa mkono kutoka Kwa mama SSH.Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu.
Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu nimewaza mambo kadha wa kadha.
1. Tayari huko Congo ya mashariki vurugu inaendelea. Na sote tunajua yule anayeleta vurugu hizo ni ndugu yetu huyu na wenzake wakisaidiwa na wafanya biashara mbalimbali wa madini duniani. Huku USA akiwa behind the scene.
Juzi juzi makamu wa rais wa Marekani alikuja hapa Tanzania. Na katika mambo mengi yaliyozungumzwa huenda na hili suala la amani katika eneo la kaskazini mwa congo. Maana Tanzania inapokea wakimbizi wengi sana na kushindwa kufanya mipango yake ya maendeleo.
2. Tayari Burundi, Uganda na DRC zimekubali kufanya biashara na Tanzania. Huku yeye akiwa na matakwa yake. Na ukiangalia mbele ya safari madini ya huko Congo na Burundi yatasafirishwa kupitia SGR ya Tanzania. Sasa hapa tunaongelea National Interest. Ukiyagusa maslah ya Tanzania maana yake umeingilia ulinzi na usalama wa Tanzania.
3. Tunapoelekea anaona kabisa anatengwa, Maana USA sasa hivi naye anapigana for her survival. Hizi operation zinazoendelea huko Ukraine zimewafumbua wengi. Kwahiyo wengi sasa wanaanzisha umoja wao na kuanza kujiweka mbali na USA. Huku wengi wakiwa karibu na China. Yeye hana mahusiano mazuri na China huku TZ tukiwa washirika wa karibu sana na China.
4. Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyekiti wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Duniani. Mwakani mkutano wa majeshi yote duniani utafanyika hapa Tanzania. Tanzania imekabidhiwa na Russia juzi juzi wiki hii huko Moscow. Kuwa mbali na Tanzania ni kujitenga na ulinzi wa kidunia.
5. Tanzania imeandaa mpango kabambe wa kumaliza na kutokomeza makundi yanayopigana na serikali huko DRC. Mpango wa Tanzania utaweza kumfanya yeye apotee kabisa kwenye ramani, kama alivyopotea Idd Amini Dadaa.
Karibu tuchangie. Hayo ni mawazo yangi binafsi kama raia mwema.
Naungana na ww. Hiyo Nchi yenyewe km za mraba 26,000 ambayo Sawa na wilaya mojawapo nchini Tanzania.Raia gani wa Rwanda ana akili kubwa?.Akili za kuuana na kubaguana kwa ukubwa wa pua?
Nawadharau sana watu wanaotaka kulinganisha Rwanda na Tanzania. Ni upuuzi labda walinganishe na mikoa ya lake zone (Mwanza, Geita, Mara na Bukoba)
Hii nchi baada ya Kagame itakuja kulipuka kama Sudan tu. Mtu mmoja akikaa madarakani muda mrefu kwa ubabe, anawaongoza kwa vitisho, kuua na kauli yake inakuwa kama ndiyo kama kauli ya Mungu, anapotoka au kufa lazima taifa lipasuke.Naungana na ww. Hiyo Nchi yenyewe km za mraba 26,000 ambayo Sawa na wilaya mojawapo nchini Tanzania.
Nchi haina Rasilimali, wanalima maparachichi,kahawa na migomba Kwa ajili ya Kulisha WAtu na Sokwe watu wao wanaowMiliki. Leo hii uje uilinganishe na Taifa kubwa la Tanzania!?.
Na ndio vile PK anaiba Rasilimali Congo na kuendesha Nchi yake. Mbona Burundi siyo Wezi kama yeye!?
Itoshe kusema sasa Amani ipatikane Congo na wacomani waishi Kwa Amani. Ukizingatia hawa ndio wateja wetu wakubwa wa bandari yetu na ciyo hako ka wilaya ka Rwanda.
Mi mwenyewe namkubali sana kikwete kwwnye diplomasia!Hakuna kitu ambacho ni cha moja kwa moja.Muda wakati ni mwamuzi wa mambo mengi.
Zile siasa za ubabe ubabe na uwekezaji mkubwa katika masuala ya ulinzi zinakwenda kubadilika kadri muda unavyosonga mbele.
Rwanda ina maadui wawili wakubwa ambao katika kipindi chote cha Utawala wa PAKA ameshindwa kuyadhibiti.
Adui Number moja yupo ndani.Ukabila ambao upo kwasababu za kihistoria.Bahati mbaya PAKA kaukuza na kuutukuza ukabila katika kipindi chote cha Utawala wake.Kabila lake la Tutsi ndio kila kitu huko Rwanda na kibaya zaidi anaamini sana katika himaya ya Bahima.
Tatizo la pili linazalishwa na tatizo la kwanza.PAKA ana amini makabila yote yenye asili ya Tutsi wana uhalali wa kutawala eneo lote la maziwa makuu.Alianzisha operation ya kuwatumia watutsi bila kujali wanatoka nchi gani,matokeo yake waangaza wa Tanzania au banyamulenge wa Congo wakaanza kukosa uhalali au kuaminika katika nchi zao za asili.
PAKA anajikuza sana kuliko uhalisia wa nchi yake ndogo ya Rwanda ambayo inazidiwa ukubwa wa eneo na hifadhi ya taifa ya Serengeti.Mkubwa wa hifadhi ya Serengeti ana tawala eneo kubwa kuliko nchi ya Rwanda.PAKA hawezi kuwa sawa na Rais wa Tanzania lakini hizo kelele mbwembwe utafikiri Rwanda labda ni Russia kila mahali penye ugomvi atapeleka wanajeshi wake wa kitutsi.Akienda Ulaya atasign mikataba ya kuchukua wakimbizi wakati Rwanda ni nchi ya tatu duniani kwa msongamano wa watu.
Wakati wa PAKA kuondoka unazidi kukaribia mbegu yake akiyoipanda ya ukabila ndio itakayomwondoa mapema zaidi.
Inawezekana anawapambania wananchi wake, hilo analifahamu yeye mwenyewe; lakini baadhi ya njia zake, kama zilivyokuwa za Magufuli hapa, ambaye wengi pia wanahusisha na kupambania wananchi; njia hizo zilimnyima haki ya heshima aliyoistahiri.That's all your wishes kwake ila tangu amekuwa madarakani it's about 23 years now,amekutana na hayo mara kibao Tena makubwa,ameyahimili kwakuwa anawapambania wananchi wake,muache I bwana
Swali zuri sana.... anasema ni ziara ya kushtukiza kana kwamba anajua ziara zote za maraisi TanzaniaUna taarifa za Ikulu kwamba hii ziara haijapangwa muda mrefu na imekua ghafla?
Unaweza kutuambia ughafla wake upoje? Aliamka asubuhi akasema kesho naja Tanzania?
USA ilikua hapa siku sio nyingi kupitia yule mama alieacha Trillion 11 mezaniZiara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana.
Jana kwenye afla ya chakula cha Rais kwa mgeni wake sikumuona JK miongoni mwa wastaafu.
Apambane humo humo ndani mwake, pua anayoitoa nje ya eneo lake itamponza.
Lakini si unajua yaliyofuatia baada ya hapo? Hukumbuki alivyotwangwa na asiwe na la kufanya?Mkwere hawezi kuwepo mahala Kagame alipo ; Kagame alikwisha mdharau huyo mkwere siku nyingi pale alipomwambia kuwa RWANDA ingekuwa na bandari ya DAR, isingekuwa inahangaika Dunia nzima kuomba mikopo!!! Matusi hayo ndio yanamfanya amchukie PAKA!
Lakini si unajua yaliyofuatia baada ya hapo? Hukumbuki alivyotwangwa na asiwe na la kufanya?
Ndiyo, alisema ukweli kuhusu bandari, na kama Mkwere angekuwa na akili za kutosha ingelazimu alifanyie kazi hilo.
Lakini mbona umeishia njiani kuhusu aliyosema PAKA juu ya Kikwete? Hukumbuki vitisho alivyopewa vya "I will hit him"?
Na alipojaribu uhuni wa kumpindua Nkuruziza, hukumbuki alivyoufyata alipoambiwa asithubutu? Mbona watu mnajisahaulisha mambo harakaharaka.