Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

Acheni chuki za kijinga,unayoongea yamejaa chuki ubinafsi na hayana uchunguzi wowote Ili kuaminiwa,so acha uongo,this is an international affairs issue na ni ziara ya kawaida
Huzuiwi kuamini unachotaka mwenyewe. Lakini usilazimishe na wengine waamini wanachoona wao ni upuuzi.
 
Ni mawazo yako pia,but he has put the country at a better level kuwa admired na wengi so sishangai,af ikitokea hvo unavomuombea utafaidika nin?
"Wengi" uliwahesabu lini, kama hutafuti kudharauliwa unachoandika bila ya takwimu sahihi?
 
Bado naona unajibu kihisia na hisia zenyewe zimejaa chuki,so..go on,elewa utakavyo maybe mpo katika mawazo ya hao kujua kilichopo

Mwenye "chuki" ni huyo "MWAMBA" wako, vinginevyo yote haya yasingekuwepo.
 
Sema huelewi kinachoelezwa hapa, bali unashangilia tu!
Wewe ndo unayeelewa,good,ila jua mi sio shabiki wa chuki za kijinga,mnayoongea yote hamna facts Bali kushikilia takwimu za wenye chuki kama nyie,go on,and get what you are after baada ya hzo chuki
 
Dah!! Unamahaba mazito sana na PAKA. Wewe ni mtutsi wa wapi?
 
Kilicho andikwa hapo ni jibu sahihi kupinga upuuzi unaojibiwa.
Ok,whatever you wish,ila tambua wengine tunayo experience juu ya hayo kwahiyo hatuwez kukubali mawazo ya upotoshaji ya kijinga yaliyojaa chuki yapite Bure,hata kama hatutaondoa hizo chuki mioyoni mwenu ila mjue sio wote tunazisapoti,tunaujua ukweli kwamba this World has a lot of majanga Ili iwepo hapa
 
Sioni ushahidi wowote wa 'experience' unayoidai katika maandishi yako.
Mtu wa kumwomba "aondoe chuki moyoni mwake" ni huyo 'Mwamba.'
 
Hizo experience ziko based on one side. Hapa tunajadili uhalisia tunajadili kuhusu Security and National Interest. Mambo haya yapo juu ya uwezo wako wa kufikiri. Wewe kaa tu hapo uendelee kusoma comments za wadau.

Huwezi kuyajua haya.
Je, unaujua mpango wa PAKA akishirikiana na wenzake kutaka kuilipua Dar na meli iliyotoka Bangladesh? Unaijua hiyo?
Unajua Kikwete alizipata taarifa wapi?
 
You see?? Hapo ndo nmejua sasa kwamba you are pushed by your ignorance kuhusu huyo jamaa,mtusi ni nan? Mtu au mnyama? Af PAKA ndo nin?
Tayari umeshindwa hata kuelewa code. PAKA = Paul Kagame.
Sasa unashindwa kuelewa vitu vidogo vidogo tu hivi haya mambo mazito utayajulia wapi?
Hivi unajua watoto wake maisha yao yote wamekuwa wakitumiakia jeshi la USA? Unalijua hilo? Wamesoma USA na Miltary training wamefanya huko. Unalijua hilo?
 
Wewe ndo unayeelewa,good,ila jua mi sio shabiki wa chuki za kijinga,mnayoongea yote hamna facts Bali kushikilia takwimu za wenye chuki kama nyie,go on,and get what you are after baada ya hzo chuki
Umeng'ang'ania sana swala la "chuki" dhidi ya Mwamba wako hadi unasahau kwamba yeye ndiye kiini cha chuki zote zinazoleta mgogoro katika eneo hilo.
 
Sioni ushahidi wowote wa 'experience' unayoidai katika maandishi yako.
Mtu wa kumwomba "aondoe chuki moyoni mwake" ni huyo 'Mwamba.'
Mwamba Hana chuki Wala hajakufanyia lolote,ila tu kwakuwa kaifanyia nchi yake makubwa from hell up to near to heaven ndo mnamchukiiiia,dah,kwani anachofanya hakuna wengine wanafanya? Unafahamu Marekani au Russia au China au wengine zinafnya maovu mangapi kuimarisha Dola zao? Unafahamu damu kiasi Gani za wenye hatia na wasio na hatia zinamwagwa Kila siku ilimradi tu Utawala wa baadhi ya watu ukae? Hata hapa kwetu hyo sio stori mpya,so stop Judgements za ovyo kwa msiyoyajua kisa tu unajua kusoma umesoma ya hao wenye chuki na maslahi yao
 
Tayari umeshindwa hata kuelewa code. PAKA = Paul Kagame.
Sasa unashindwa kuelewa vitu vidogo vidogo tu hivi haya mambo mazito utayajulia wapi?
Hivi unajua watoto wake maisha yao yote wamekuwa wakitumiakia jeshi la USA? Unalijua hilo? Wamesoma USA na Miltary training wamefanya huko. Unalijua hilo?
Hahaha,skia sasa,nikilijua Hilo litafaa nin? Haya wa Samia au Ruto au Museveni wamesomea wapi? What's the important point in that? Mimi nafahamu mpaka Ian Kagame ni mkuu wa kitengo Cha ulinzi wa Baba yake,yupo Ange na Brian,ila hyo sio point kwa sasa,stop HATE SPEECHES
 
Back
Top Bottom