fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
yehova maana yake ni Mungu -Mungu sio jina ni sawa na kusema God,zumbe,mnungu,mlungu,Ilaha, Mola,Jah, ila kwa waislam jina la Mungu ni Allah(the nambe of God is Allah kwa waislam)ila kwa waikristo ni utata.Musa alimuuliza unaitwa nani akamjibu mimi niko ambaye niko.shida ipo kwenye aina ya Biblia unayosoma,inawezekana unasoma Biblia ya kikatoliki ambayo haitaji jina Yehovah bali mwenyezi Mungu.
Kasome King James,hata Biblia za kiebrania zimetaja jina Yahweh.
Usinitaabishe kwa vitu vidogo.
Yehova ni sifa