Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,730
- 11,576
fafanua kidogo labda una elimu ya kunipa.Hakuna kitu kinaitwa Jehova...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fafanua kidogo labda una elimu ya kunipa.Hakuna kitu kinaitwa Jehova...
pitia threads zangu humu utajuaoooh unamuamini yupi sasa ndugu yangu?
Jina si ndo hilohilo baba mtakatifuJina la Baba wa Yesu ni Yesu, maana yake ni kwamba Yesu alipokuwa hapa duniani alitumia jina la baba, kwa hiyo basi baba na mwana wanatumia jina moja, ila sijajua kwa roho mtakatifu jina lake ni lipi.
naujua ule mzigo mrefu ambao unatishia dini za watu.pitia threads zangu humu utajua
swala ni kwamba naweza kukuonyesha uongo wa yehova na allah
mbona simjui huyo hebron,nifahamishenaujua ule mzigo mrefu ambao unatishia dini za watu.
Vip kwa Nabii Hebron ulienda?
kumbe ulikuwa unatania! kwenye uzi wangu kuhusu yeye ulisema utaenda kanisani kwake kudadisi kama yupo sawa.mbona simjui huyo hebron,nifahamishe
dah,huwaga nadebate na watu wengi sana humu kwa hiyo inawezekana nimesahau mambo menginekumbe ulikuwa unatania! kwenye uzi wangu kuhusu yeye ulisema utaenda kanisani kwake kudadisi kama yupo sawa.
Hiyu ilikuwa august
ok,vipi Mungu wako ana habari gani mpya?dah,huwaga nadebate na watu wengi sana humu kwa hiyo inawezekana nimesahau mambo mengine
ila sio mbaya ukinikumbusha nikamfatilia,but sioni sababu ya kumfatilia kama anatumia hii biblia
sioni jipya atakalokuja nalo ambalo ataweza kulitetea
labda nikwambie kwa nini naikosoa biblia na quranok,vipi Mungu wako ana habari gani mpya?
Biblia ndo muongozo wa Mkristo(katiba) ili kuufikia ufalme wa Mungu, ila ukweli ni kuwa kwenye Bible kuna errors ndogo na sio kila kilichoandikwa mle ni maneno ya Mungu,kwenye Bible kuna mawazo ya watu na mitazamo yao.labda nikwambie kwa nini naikosoa biblia na quran
wanadai vile vitabu havina makosa na ni miongozo kwa binadamu wote kufuata,lakini ninapovisoma kwa umakini nagundua kuna uongo na contradictions nyingi sana
labda nisaidie kitu,wewe unaamini biblia na quran ni vitabu ambavyo usipoviamini na kuvifata utachomwa moto wa milele na yehova/allah?
mtu akishajibu hivyo huwa nafunga mjadalaBiblia ndo muongozo wa Mkristo(katiba) ili kuufikia ufalme wa Mungu, ila ukweli ni kuwa kwenye Bible kuna errors ndogo na sio kila kilichoandikwa mle ni maneno ya Mungu,kwenye Bible kuna mawazo ya watu na mitazamo yao.
Nataka uniambie Mungu wako ana habari gani mpya?
Wapi panatatiza uliza tu tunasaidiana woteYesu nae mambo mengi alizingua sema kwa sababu mnasema ukidadis sana utatenda dhambi basi twende hivohivo
kwa hiyo ndo umekimbia hivyo?mtu akishajibu hivyo huwa nafunga mjadala
kazi ninayofanya humu inazaa matunda
siwezi kumkimbia mtu humukwa hiyo ndo umekimbia hivyo?
baba ni mungu mwana ni yesu na roho mtakatifu ni msaidizi wa yesu baada ya yesu kwenda mbinguni kwa ufupi hizo ni nafsi tatu za utatu mtakatifu
Mkristosiwezi kumkimbia mtu humu
wewe ni mkristo au muislam?
nieleweshe maana ya huu mstariMkristo
sijui,nieleweshe maana ya huu mstari
Matthew 16:28 King James Version (KJV)
28 Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.