Je, ni nini Yesu alimaanisha?

Je, ni nini Yesu alimaanisha?

sijui,
Kwanini hautaki kuniambia Mungu wako ana habari gani mpya.
mungu wangu hakuandika kitabu chochote
naona hata huelewi mungu mtu wako yesu alimaanisha nini kwenye mathayo 16:28
 
mungu wangu hakuandika kitabu chochote
naona hata huelewi mungu mtu wako yesu alimaanisha nini kwenye mathayo 16:28
vifungu tatanishi kama hicho vipo vingi na kama sijui nasema sijui au ulitaka nikudanganye?
 
1 Baba
2 Mwana
3 Roho mtakatifu


Mungu wa
1 Ibrahim
2 Isaka
3 Yakobo



1Suzana
2Yoeli
3msagata


Hivi huu utatu mtakatifu unamaana/fumbo gani katika maisha yetu tusije tukawa tunafanya vise versa
 
Back
Top Bottom