Je, ni nini Yesu alimaanisha?

shida ipo kwenye aina ya Biblia unayosoma,inawezekana unasoma Biblia ya kikatoliki ambayo haitaji jina Yehovah bali mwenyezi Mungu.
Kasome King James,hata Biblia za kiebrania zimetaja jina Yahweh.
Usinitaabishe kwa vitu vidogo.
yehova maana yake ni Mungu -Mungu sio jina ni sawa na kusema God,zumbe,mnungu,mlungu,Ilaha, Mola,Jah, ila kwa waislam jina la Mungu ni Allah(the nambe of God is Allah kwa waislam)ila kwa waikristo ni utata.Musa alimuuliza unaitwa nani akamjibu mimi niko ambaye niko.
Yehova ni sifa
 
sawa kwa ushiriki wako lakini tafakari mara mbili
 
Isaya 42:8 "Mimi ni Yehova hili ni jina langu,sitampa mwingine utukufu wangu"
Anayeongea hapa ni Mungu kwamba jina lake ni Yehova halafu wewe unasema hili sio jina ni sifa.
Tumuamini nani mwenye jina au wewe?
Je Mungu alikosea kusema jina lake ni Yehova?
Tusitaabishane bure kwa mambo madogo maana unakera sasa.
 
Allah si jina la Mungu
 
Mtoa mada nawe umechanga mada pia…. Swali lako halitokani na hayo maneno, wewe umeongeza andiko ndio maana unapata tabu ya tafsiri,…. Biblia haikutaki uongeze neno wala kupunguza, kwani itakupa tafsiri tofauti.
"Mkayabatize mataifa KWA JINA LA BABA, NA LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU"… .
Na sio kwa jina la Baba, jina la mwana, na jina la roho Mtakatifu…..
Wewe umeweka majina matatu, lakini hapo limetafutwa jina moja kwa ujumla wake kwa Baba, Mwana na Roho mtakatifu uliweke katika jina moja yaani Mungu… (combination) kwa imani tunasema NAFSI TATU, MUNGU MMOJA,…. hivyo Biblia inatufundisha kwamba, nendeni mkawabatize mataifa kwa jina la Mungu… (Mungu aliyeshiriki uumbaji wa mbingu na dunia, Mungu mkombozi aliyezaliwa kama mwanadamu, na Mungu roho ambaye tunaye katika mibaraka na neema za kila siku)… kwahiyo usiweke majina matatu, ila jina moja litakalowakilisha nafsi tatu za Mungu katika uumbaji, ukombozi na Maisha ya kupokea neema na baraka za Mungu….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…