Je, ni nini Yesu alimaanisha?

Jina la Baba wa Yesu ni Yesu, maana yake ni kwamba Yesu alipokuwa hapa duniani alitumia jina la baba, kwa hiyo basi baba na mwana wanatumia jina moja, ila sijajua kwa roho mtakatifu jina lake ni lipi.
Jina si ndo hilohilo baba mtakatifu
 
Yesu nae mambo mengi alizingua sema kwa sababu mnasema ukidadis sana utatenda dhambi basi twende hivohivo
 
pitia threads zangu humu utajua
swala ni kwamba naweza kukuonyesha uongo wa yehova na allah
naujua ule mzigo mrefu ambao unatishia dini za watu.
Vip kwa Nabii Hebron ulienda?
 
kumbe ulikuwa unatania! kwenye uzi wangu kuhusu yeye ulisema utaenda kanisani kwake kudadisi kama yupo sawa.
Hiyu ilikuwa august
dah,huwaga nadebate na watu wengi sana humu kwa hiyo inawezekana nimesahau mambo mengine
ila sio mbaya ukinikumbusha nikamfatilia,but sioni sababu ya kumfatilia kama anatumia hii biblia
sioni jipya atakalokuja nalo ambalo ataweza kulitetea
 
ok,vipi Mungu wako ana habari gani mpya?
 
ok,vipi Mungu wako ana habari gani mpya?
labda nikwambie kwa nini naikosoa biblia na quran
wanadai vile vitabu havina makosa na ni miongozo kwa binadamu wote kufuata,lakini ninapovisoma kwa umakini nagundua kuna uongo na contradictions nyingi sana
labda nisaidie kitu,wewe unaamini biblia na quran ni vitabu ambavyo usipoviamini na kuvifata utachomwa moto wa milele na yehova/allah?
 
Biblia ndo muongozo wa Mkristo(katiba) ili kuufikia ufalme wa Mungu, ila ukweli ni kuwa kwenye Bible kuna errors ndogo na sio kila kilichoandikwa mle ni maneno ya Mungu,kwenye Bible kuna mawazo ya watu na mitazamo yao.
Nataka uniambie Mungu wako ana habari gani mpya?
 
mtu akishajibu hivyo huwa nafunga mjadala
kazi ninayofanya humu inazaa matunda
 
nieleweshe maana ya huu mstari

Matthew 16:28 King James Version (KJV)

28 Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.
 
sijui,
Kwanini hautaki kuniambia Mungu wako ana habari gani mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…