Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
Siyo sahihi hata kidogo.

Harmonize ni mshamba sana.

Unaweza kumtoa mshamba shambani, lakini huwezi kuutoa ushamba kutoka kwa mshamba.

Hilo ni tusi baya sana na hakutakiwa kulisema pale.

Kajamaa kafupi na akili zake fupi.

Kana Sema eti “hakuna Mwaisa mshamba”😀
 
ELIMU ELIMU ELIMU

Yule mmakonde amevamia jiji kwa kasi sana, kila neno analolisikia anaruka nalo juu kwa juu.

Si ajabu hata yeye mwenyewe hajui maana ya BOMBOCLAT.

HILI NALO MKALITAZAME.
Anajua xnaa ndio maana anatumia ila mashabiki waigaji ndio weng hawajui
 
Acheni hizo! Haya maampiano kutwa yanaimba matusi na tunakwenda nayo tu.

Hilo neno ilikuwa Jina la wimbo maarufu WA Jose Chameleon na nduguye wakitumia biti ya Prof Jay..
 
Back
Top Bottom