Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

We zuchu tuuuu...
Mchumba tuuuu
Unafinywa na wachawi wewe....
images (11).jpeg
 
Bomboclaat

Bum bum cloth.

Toilet paper inayotumiwa kuchambia mavi.

Ras claat

Literally ni ma pedi yanayowekwa na wanawake kwenye sehemu zao za siri kuzuia damu ya hedhi.
Aisee leo ndio nimejua maana ya hili neno😂
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Jamaa MSHAMBA SANA halafu ELIMU DUNI.
Kinachonshangaza ile confidence anaitoa wapi, Na Management yake inakua wapi mpaka msanii wao anatoa boko hivyo
 
Yani daah anatia aibu..
Na lile dole la kati kila picha anaonyesha...
Harmo nilikua namkubali ila siku ananikera mnoo...
 
Back
Top Bottom