Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
Bumbaclot is Jamaican slang equivalent to “douchebag” or “motherfucker,” often used as an interjection to express disgust or dismay.

Kutokana na uhalisia uliopo, japo sio dhamira yake kufikisha ujumbe huo ila hakukosea sana hasa kwa hadhira husika.
 
Huyu jamaa nlimuona ni mweupe sana kichwani siku anahojiwa Clouds fm wakati anatambulisha ile kampuni yake ya betting, Aliulizwa kuhusu ile album yake kuhusu Mama samia,
Akawa anaelezea moja ya sababu iliyomgusa ni kuanza kwa mradi wa SGR, sasa badala ya kusema station akawa anasema stationary ..ilibidi nizime radio
 
Screenshot_20240807-111345.png
 
Show yenyewe ilikua ndeeefu alafu very bored. Unyama ni WA mnyama tu.
Show ilimshinda na pumzi ilikata kabisa, Dogo nazikubali sana nyimbo zake lakini ile show ilikuwa mbovu hasaq kwa kifupi alichemsha sana. Alafu kazidisha sana mibangi naye.
 
Huyu jamaa nlimuona ni mweupe sana kichwani siku anahojiwa Clouds fm wakati anatambulisha ile kampuni yake ya betting, Aliulizwa kuhusu ile album yake kuhusu Mama samia,
Akawa anaelezea moja ya sababu iliyomgusa ni kuanza kwa mradi wa SGR, sasa badala ya kusema station akawa anasema stationary ..ilibidi nizime radio
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Jamaa MSHAMBA SANA halafu ELIMU DUNI.
 
Mshamba na Limbukeni sana yule dogo kuna siku nilikutana naye Coral Beach Hotel ile kumpa hi tu akawa anajishebedua kama Miss World nikamuona kumbe huyu Zuzu tu.

Stimu muda mwingine zinasumbua sana kichwani hasa ukizidisha.
 
Huyu jamaa nlimuona ni mweupe sana kichwani siku anahojiwa Clouds fm wakati anatambulisha ile kampuni yake ya betting, Aliulizwa kuhusu ile album yake kuhusu Mama samia,
Akawa anaelezea moja ya sababu iliyomgusa ni kuanza kwa mradi wa SGR, sasa badala ya kusema station akawa anasema stationary ..ilibidi nizime radio

Harmonize ni darasa la 7 kwahiyo Mimi namuona ni hustler Sana na jinsi anavyojitahidi kuongea kiingereza anajitahidi kuzidi mpaka watu wengi waliosoma hapa bongo.
 
Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT

Mkuu unajua maana ya neno Mo'fo? Mbona ilo neno pia kama kivumishi hata kwetu Tz?

I dont know what you heard about .im the Mo'fo PIMP.

Aiseee qmmk walahi jamaa ni noma ametisha.
 
Harmonize ni darasa la 7 kwahiyo Mimi namuona ni hustler Sana na jinsi anavyojitahidi kuongea kiingereza anajitahidi kuzidi mpaka watu wengi waliosoma hapa bongo.

Huyu ndiyo hasa akiwa inspirational speaker nitakubali maana ameanzia chini sana.

"kuna wengine wakasema sijui kuimba eti sina kipajii,Mungu si athumani nikakutana na simba ,now i made it".

Nikiangalia Konde House na ndiga zile ,hauwezi kuamini jamaa alikuwa Chinga anauza cover za simu huku amevaa ndala chini.,,,huyo ndiyo mfano halisi wa kuanzia chini.
 
Ana hustler spirit then yupo smart huwa namsikiliza interview anaongea madini Sana

So hata asingekuwa msanii bado angejipata kupitia hata huo umachinga.
 
Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
The word “bomboclat” derived from the African slaves on the island of Jamaica in the 17th century, primarily used to describe the cloth their slave masters used to wipe their bottoms and that the slaves were forced to clean. During this time period, the slaves created a language they could use to communicate with each other – one that the slave masters could not understand. Since they were not allowed to speak their native-tongue, they came up with Patois – a blend of broken English and African dialects. (Patois is commonly spoken on the island of Jamaican up until this day). “Bomboclat” is one of these Patois words. “Bombo” means, bottom and “Clat” means, cloth. When paired together, it means “bottom cloth” in the standard English translation – a cloth used to wipe your bottom.
 
Back
Top Bottom