God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Ni kosa kubwaHarmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
Ila bichwa komwe matusi yote ya kila lugha unayajua weweπ€£π€£ELIMU ELIMU ELIMU
Yule mmakonde amevamia jiji kwa kasi sana, kila neno analolisikia anaruka nalo juu kwa juu.
Si ajabu hata yeye mwenyewe hajui maana ya BOMBOCLAT.
HILI NALO MKALITAZAME.
πππ saiv nimeokoka situkani tenaIla bichwa komwe matusi yote ya kila lugha unayajua weweπ€£π€£
Siyo sahihi hata kidogo.Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
Anajua xnaa ndio maana anatumia ila mashabiki waigaji ndio weng hawajuiELIMU ELIMU ELIMU
Yule mmakonde amevamia jiji kwa kasi sana, kila neno analolisikia anaruka nalo juu kwa juu.
Si ajabu hata yeye mwenyewe hajui maana ya BOMBOCLAT.
HILI NALO MKALITAZAME.
Kavamia mji kutoka umakondeni au sio mwenyewe anahisi ndio unyamweziπππππππELIMU ELIMU ELIMU
Yule mmakonde amevamia jiji kwa kasi sana, kila neno analolisikia anaruka nalo juu kwa juu.
Si ajabu hata yeye mwenyewe hajui maana ya BOMBOCLAT.
HILI NALO MKALITAZAME.
Waimba singeli na msemo wao ,"wahuniii" unawazungumziaje?Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kavamia mji kutoka umakondeni au sio mwenyewe anahisi ndio unyamweziπππππππ