Bumbaclot is Jamaican slang equivalent to “douchebag” or “motherfucker,” often used as an interjection to express disgust or dismay.Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
SubhanAllah 🙏🤔Wengi hawajui maana yake ndio maana yake wanaona kama neno la kawaida ila hilo ni Tusi kijamaica kama ulivyosema ni MazaFak
Show ilimshinda na pumzi ilikata kabisa, Dogo nazikubali sana nyimbo zake lakini ile show ilikuwa mbovu hasaq kwa kifupi alichemsha sana. Alafu kazidisha sana mibangi naye.Show yenyewe ilikua ndeeefu alafu very bored. Unyama ni WA mnyama tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Huyu jamaa nlimuona ni mweupe sana kichwani siku anahojiwa Clouds fm wakati anatambulisha ile kampuni yake ya betting, Aliulizwa kuhusu ile album yake kuhusu Mama samia,
Akawa anaelezea moja ya sababu iliyomgusa ni kuanza kwa mradi wa SGR, sasa badala ya kusema station akawa anasema stationary ..ilibidi nizime radio
Mshamba na Limbukeni sana yule dogo kuna siku nilikutana naye Coral Beach Hotel ile kumpa hi tu akawa anajishebedua kama Miss World nikamuona kumbe huyu Zuzu tu.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamaa MSHAMBA SANA halafu ELIMU DUNI.
Mother fu.ck.erHilo neno Lina maana gani?
Mshamba na Limbukeni sana yule dogo kuna siku nilikutana naye Coral Beach Hotel ile kumpa hi tu akawa anajishebedua kama Miss World nikamuona kumbe huyu Zuzu tu.
Dogo anavuta sana mibangi yaaniStimu muda mwingine zinasumbua sana kichwani hasa ukizidisha.
Huyu jamaa nlimuona ni mweupe sana kichwani siku anahojiwa Clouds fm wakati anatambulisha ile kampuni yake ya betting, Aliulizwa kuhusu ile album yake kuhusu Mama samia,
Akawa anaelezea moja ya sababu iliyomgusa ni kuanza kwa mradi wa SGR, sasa badala ya kusema station akawa anasema stationary ..ilibidi nizime radio
Dogo anavuta sana mibangi yaani
Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
Harmonize ni darasa la 7 kwahiyo Mimi namuona ni hustler Sana na jinsi anavyojitahidi kuongea kiingereza anajitahidi kuzidi mpaka watu wengi waliosoma hapa bongo.
Huyu ndiyo hasa akiwa inspirational speaker nitakubali maana ameanzia chini sana.
"kuna wengine wakasema sijui kuimba eti sina kipajii,Mungu si athumani nikakutana na simba ,now i made it".
Nikiangalia Konde House na ndiga zile ,hauwezi kuamini jamaa alikuwa Chinga anauza cover za simu huku amevaa ndala chini.,,,huyo ndiyo mfano halisi wa kuanzia chini.
DuuuhELIMU ELIMU ELIMU
Yule mmakonde amevamia jiji kwa kasi sana, kila neno analolisikia anaruka nalo juu kwa juu.
Si ajabu hata yeye mwenyewe hajui maana ya BOMBOCLAT.
HILI NALO MKALITAZAME.
The word “bomboclat” derived from the African slaves on the island of Jamaica in the 17th century, primarily used to describe the cloth their slave masters used to wipe their bottoms and that the slaves were forced to clean. During this time period, the slaves created a language they could use to communicate with each other – one that the slave masters could not understand. Since they were not allowed to speak their native-tongue, they came up with Patois – a blend of broken English and African dialects. (Patois is commonly spoken on the island of Jamaican up until this day). “Bomboclat” is one of these Patois words. “Bombo” means, bottom and “Clat” means, cloth. When paired together, it means “bottom cloth” in the standard English translation – a cloth used to wipe your bottom.Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT